Bora usimalize awamu kuliko kukubali kuingiliwa kwenye maamuzi yako.Wa hivi huwa hawamalizi awamu zao
Hakika mkuuBora usimalize awamu kuliko kukubali kuingiliwa kwenye maamuzi yako.
naona umetanguliza chuki mkuu. unapoandika mada jitahidi kuficha hisia zako .
Anyway iko hivi ruto anawasiwasi wankupinduliwa na hiyo ni kitu mbaya Sana , kwanza unawafanya watu wakuhisi hujiamini , kwann uende kumsumbua mama wa watu Tena mzee , si ashughurike na Uhuru Kama anamhisi vibaya!? mama Kenyatta ni 1st lady wa taifa la Kenya anaheshima kubwa Sana nchini Kenya , unaanzaje kumkosea heshima !? Kama angekuwa na Jambo angeenda nyumbani kwa mama Kenyatta aongee nae kwa staha .
badala ya kutengeneza , Sasa ndo amezidi kuharibu !! anajichimbia shimo mwenyewe .
Wameshamget! Wamget Mara ngapi mkuu?hapo subiria kigomaNafikiri kama raisi Kenya ana infos nyingi kuhusu hali ya usalam klk mimi na wewe, kuna wengi walipuuuzia hali kama hizo na hawakudili ipasavyo na threats wakaishia kuongea tu majukwaani ma kuwaacha wahusika wakiendelea ku plot against them, Ruto anajua anachokifanya na kwa maoni yangu yuko sahihi kabisa, get them before they get you …
Na yy Ruto akumbuke hatatawala milele watu wa namna hiyo huwa wanakuwaga na mwisho mbaya na maisha ya mashaka baada ya kustaafu.Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.
Anajua kwamba he has get them before they get him …
View attachment 2695936
Hao walokole ndio wanakuwaga makatili balaa ugopa sana Kiongozi anayejifanya mtu wa dini wengi Huwa Wana ajenda zao za kikatili mioyoni mwao Jiwe ni mfano mzuriNa yy Ruto akumbuke hatatawala milele watu wa namna hiyo huwa wanakuwaga na mwisho mbaya na maisha ya mashaka baada ya kustaafu.
Hapo kwenu hawapo au hayupo?.Nachukia sana maraisi wanaostaf alafu bado wanang'ang'ania hali ya kujiona kama wanahaki ya kutoa maamuzi au Maelekezo flani kwenye system.
Sio kwa wakenya labda ruto angekua prezidaa wa bongo! Kenyatta hajalialia bali amewaambia waz waache kumsumbua mtoto wake wamfuate yeye maan yupo, pia kawaambia haitaji ulinz wao ana pesa ya kuweka ulinz wake!! Kumbuka wakenya hua wanasubir kaul tu ya kiongoz wao then wanakinukisha!!Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.
Anajua kwamba he has get them before they get him …
View attachment 2695936
Yakwenu hamuyaoniHivi Rais Ruto atakuwa amekurupuka tuu ? Itakuwa kuna vitu vimafanyika ndiyo maana anafanya hivyo sizazi kama yeye hajielewi, haya mambo kuna siri nyingi , Kenyatta na Baba yake Odinga lao moja.
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Kikubwa wasipigane tu nakutuletea wakimbizi huku bongoUhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.
Anajua kwamba he has get them before they get him …
View attachment 2695936
Anahofu akifanya handshake na Raila ataonekana dhaifuRuto hajielewi analeta mambo ya ulokole kwenye kuongoza nchi ana shindwa nini kukaa chini na wapinzani wake na kujenga nchi yao? Kenya baada ya kuona Odinga atamsumbua hakuona shida kummegea keki ya taifa na tuliona mambo yalikuwa shwari.
Wewe yako ungeyaona usinge comment ungekaa kimya au unataka ulipo wewe na wengine wawepo eti!Yakwenu hamuyaoni
Mmebaki midomo kama Chuchunge!!!