Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

Ruto kafanyaje mama Kenyatta!?
 
Wamemkosea nini ?
 
Umeona eee kipindi yupo makamu walikuwa wana mnanga lakini alivumilia yote, walitaka asuse umakamu [emoji3][emoji3] naye akang'ang'ania humo humo, watulie dawa iwaingie

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Jamani kama hamjui siasa tafuteni maarifa mtazijua,kama Kenyatta angetaka wakati ule amuondoe Ruto angeweza kufanya hivyo.Vilevile kama angetaka Ruto asiwe Rais huyo Ruto asingekuwa Rais-hakuna sikio linazidi kichwa kwa vyovyote vile.
Rutto kuwa Rais ni mchezo waliucheza yeye na rafiki yake Uhuru-bahati mbaya Odinga akaingia King.
 
Ruto inabidi awe makini,asipoangalia hu mchezo utageuka kama wa Kikwete na Magufuli-unamuweka MTU kwenye kiti kisha anakugeuka.
Mwisho wa siku unapoteza kiti chenyewe,Uhuru na Odinga ndio Kenya ukicheza nao inabidi uwe makini.
 
Simple wawalipe walinzi kutoka kwenye pensheni zao; na hao waliopo sasa siku wakimaliza na wao mama zao na ndugu zao wajilipie Simple...

Hio itapunguza Gharama kwa walipa kodi mtaani
 
Ye Ruto anatakiwa adili na Uhuru sio familia ya Uhuru,huo ni uoga
 
Kwani hakuna Katiba Mpya huko Kenya au? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukisoma watanzania wanavyotoa maoni kuhusu matatizo ya majirani, utakumbuka ule msemo kuwa "Nyani haoni,,,,, lake
 
Basi kama ulikuwa mchezo wa Uhuru na Ruto mpaka akaingia madarakani, basi huu mchezo mpya wataumaliza salama.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mzee hizi mambo anafanya kwa mtangulizi hazitamuacha salama mda ni mwalim
 
Uhuru alitaka amiliki remote kama ilivyo tanzania remote kuwa msoga.ruto hana masihala kabisa.huo ndio uongozi tunaotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…