Nzie ya Mana
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,515
- 1,730
He has get! Andika kiswahili tu!Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi, anajua anachofanya, sasa ameondoa ulinzi kwa familia yote ya evil Uhuru.
Anajua kwamba he has get them before they get him …
View attachment 2695936
Ukisoma watanzania wanavyotoa maoni kuhusu matatizo ya majirani, utakumbuka ule msemo kuwa "Nyani haoni,,,,, lake
Ruto ni mjinga sana na muongo mno sijui ni zao la CCM. Nchi imeshamnyea hii.naona umetanguliza chuki mkuu. unapoandika mada jitahidi kuficha hisia zako .
Anyway iko hivi ruto anawasiwasi wankupinduliwa na hiyo ni kitu mbaya Sana , kwanza unawafanya watu wakuhisi hujiamini , kwann uende kumsumbua mama wa watu Tena mzee , si ashughurike na Uhuru Kama anamhisi vibaya!? mama Kenyatta ni 1st lady wa taifa la Kenya anaheshima kubwa Sana nchini Kenya , unaanzaje kumkosea heshima !? Kama angekuwa na Jambo angeenda nyumbani kwa mama Kenyatta aongee nae kwa staha .
badala ya kutengeneza , Sasa ndo amezidi kuharibu !! anajichimbia shimo mwenyewe .
Mkuu wa majeshi Kenya ni Mjaluo,Ruto kajichanganya sana!Wameshamget! Wamget Mara ngapi mkuu?hapo subiria kigoma