Ruto, sadaka haitolewi Ikulu kama ni safi au chafu ipelekwe madhabahuni itakaswe

Acha ujinga basi. Ruto na mkewe ni Wakristo. Ulitaka wakatambike mizimu? Kwa hiyo Mkristo akiwa rais aache Ukristo wake? Akiishi imani yake inakuwa tatizo?

Walewale wanaopata shida na ushungi wa Rais Samia. Ujinga plus plus!
Anataka kuongoza nchi Kikristo?
 
Bandugu hamjambo?

Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?

Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.

Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.

Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.

Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.

Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.

View attachment 2359610View attachment 2359611
Ruto kaupata Urais na kwakweli binfsi niseme ukweli tu nilikua upande wake , ila bado KWa hizi siku Chache Kama simuelewi, may ngoja tuone mbele ya safari yake,

Ila KWa jicho la mbali naona anaelekea kuifanya Ikulu ya Kenya Kama mali binafsi ya familia yake
 
Huwa siichanganyi na mambo mengine yanayoshirikisha jamii.
Inabakia ni suala la binafsi
Labda kama imani nyingine. Ukristo sio suala binafsi. Ni suala la public. Yesu alikuwa anafundisha uvunguni? Kina Paulo au Petro je?

Labda kama ni inani nyingine sio Ukristo.
So mwache rais wa majirani aishi imani yake kwa uhuru. Kuna sheria kavunja?
 
Kwani anaongoza kwa kufuata sheria za kanisa au za nchi?
 
Anataka kuongoza nchi Kikristo?
Acha ujinga basi!
Kuiishi imani yake inahusianaje na kuingoza nchi kidini?

Kavunja Kipengele gani cha katiba ya Kenya? Unaona wivu au aibu?
 
Kwani anaongoza kwa kufuata sheria za kanisa au za nchi?
Yawezekana najadiliana na mjukuu wa shule ya msingi au una akili za mtoto wa shule ya msingi.

Kamshtaki basi kwa kuvunja katiba!
 
Acha ujinga basi!
Kuiishi imani yake inahusianaje na kuingoza nchi kidini?

Kavunja Kipengele gani cha katiba ya Kenya? Unaona wivu au aibu?
Yeye sio wa kwanza tumeona madikteta wakijifichia kwenye dini na wakaleta uharibifu Mkubwa Sana kwa watu
 
Huna hoja.
Hajavunja katiba. Hajatenda dhambi kuishi imani yake.

Utakuwa na matatizo yako binafsi tu!
 
Yawezekana najadiliana na mjukuu wa shule ya msingi au una akili za mtoto wa shule ya msingi.

Kamshtaki basi kwa kuvunja katiba!
Uelewi chochote kuhusu unafiki wa watawala wa kiafrica, Ukikua utaelewa.
Kwann leo baada ya kuwa raisi
 
Kwann leo baada ya kuwa raisi
Si nimekwambia uache ujinga?
Kwa hiyo ulitaka awaalike ikulu na yeye sio rais? Una akili timamu kweli ndugu yangu wewe?

Umefuatilia kabla ya urais yeye na mkewe waliishije mambo ya imani yao? Una matatizo aisee!
 
Kama alivyo yasiishi kabla ajalamba asali na ndivyo ayaishi hivyo hivyo
 
Moja ya kazi ya Rais ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi kitqifa, wa raia na Mali zao wanapo kufa Rais kizembe wanao takiwa kulaumiwa ni yeye
Unajua toka Rais Samia aingie wamekufa Watanzania wangapi?

Unaweza kutonesha posts ambazo unamlaumu? Chuki kuificha ni kazi sana
 
Kwa mantiki hiyo hakuna dini ambayo ni suala binafsi, kila dini ni suala la public kwa kila mtu!
Labda kama imani nyingine. Ukristo sio suala binafsi. Ni suala la public. Yesu alikuwa anafundisha uvunguni? Kina Paulo au Petro je?

Labda kama ni inani nyingine sio Ukristo.
So mwache rais wa majirani aishi imani yake kwa uhuru. Kuna sheria kavunja?
 
Ok one last time nitakuambia acha ujinga.
Inaonekana huyo Ruto umeanza kumjua mwaka huu tu.

Basi angalau nikurudishe 2020 halafu miaka ya nyuma ya hapo kafanye homework yako. Ukimaliza rudi ufute huu ujinga wako
Kuna level ukiwa ukifanya hayo utafsirika ni udini
 
Bandugu hamjambo?

Hivi mwakumbuka ujinga wa kuita viongozi wa Dini Ikulu na kupiga nao stori za kijinga, uku akiishia kuwawekea SADAKA zilizojaa DAMU za watu walio kuwa wanauliwa na kutupwa kwenye viroba na kutupwa jalalani kulikotokea enzi za mwendazake?

Sikuwai sikia kiongozi wa Dini yoyote aliyejitokeza kupigia kelele unyama huo mpaka wa leo.

Wengi wetu tulimwona Magufuli kama Mungu mtu,viongozi wa Dini ikifika hatua viongozi kama mwamposa wakaamua kuchagua kabira kubwa la wachaga na kuwatoa kafara hakuna aliyeguswa.

Nauoma ujinga huo alio ufanya Magufuli na Akaishia kufa kifo Cha MENDE, Rais Ruto na Mkewe wanaurudia ebu tizama picha hii utaona kiongozi wa Dini anaingia mikono mitupu anatoka na bahasha kubwa iliyojaa pesa za walipa Kodi.

Hiyo ni sadaka au kitu gani? Kwa nn hisipelekwe mazabauni itakaswe?bahasha imekuwa kubwa mpaka mchugaji anaonekana kulemewa minoti anashindwa hata kuificha.

Ujumbe wangu Ruto na mkeo peleka sadaka mazabauni Ikulu sio pahala pa ulanguzi.

View attachment 2359610View attachment 2359611
Mleta mada una ujinga ulikithiri, Mungu hayuko kwenye jengo unaloamini mahali pakupeleka zaka au sadaka.

Madhabahu iko moyoni kwako
 
Back
Top Bottom