El Capitan
Senior Member
- May 2, 2011
- 168
- 140
na hivi Tanzania mnaweza kitu Gani zaidi ya bongo fleva, nyimbo za kugegedana ?Vipi Alshabaab Kule Lamu na Wajiri, kwanini mumeshindwa kuwapa kichapo?, huko DRC mlikoenda kupiga picha, ni kichapo kipi KDF walikitoa?, huko South Sudan mlikotimuliwa na Ban Ki- Moon baada ya kushindwa kazi. Hivi Kenya mnaweza kitu gani zaidi ya Marathon?