Vipi Alshabaab Kule Lamu na Wajiri, kwanini mumeshindwa kuwapa kichapo?, huko DRC mlikoenda kupiga picha, ni kichapo kipi KDF walikitoa?, huko South Sudan mlikotimuliwa na Ban Ki- Moon baada ya kushindwa kazi. Hivi Kenya mnaweza kitu gani zaidi ya Marathon?