ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Rais wa Kenya ,William Ruto amesema kutokana na Wananchi wa Kenya kuukataa mswaada wa sheria ya Bajeti Maarufu kama Finance Bill uliozua Maandamano makubwa, Serikali yake italazimika kukopa Zaidi ya Shilingi Trilioni 20.6 (Ksh.1Trilioni) za kulipia Madeni na kugharamia mambo mengine ya serikali.
Ruto amesema hatua hiyo ni sawa na kurudi nyuma miaka 2 😁😁👇👇
View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1807844155281797191?t=_0LXMMUVV_ybPZs65UYj9A&s=19
My Take: Kenya imefika huko kutokana na Mamiradi mengi makubwa chini ya Rais Hayati Mwai Kibaki na Reli ya SGR ya Uhuru Kenyatta.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C86wRT4tMqV/?igsh=eDB1ZWs2YmNvZDJ4
Mnaposhangilia Sgr mkae mkijua ni mikopo na italazimika kuja kulipwa. Hakuna sababu ya kukurupukia miradi mikubwa ya kupigia picha za kisiasa "cosmetic projects" kama hakuna huo ulazima.
Pia soma Marais Museveni wa Uganda & Mwinyi wa Zanzibar Wamekataa Itikadi za Kijamaa, Bajeti zao kugharamiwa na Mikopo kwa 60%