Unaona Hela ya Kenya ilivyo na thamani kulinganisha na Tanzania! Shwaini!Sure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona Hela ya Kenya ilivyo na thamani kulinganisha na Tanzania! Shwaini!Sure.
Usiape usiape usiale. Usiape kwa mbingu wala kwa nchi. Ukisema ndiyo iwe ndiyo na siyo iwe siyo. Chichote kinachozidi hapo chatoka kwa yule muovu. MathayoApia
Yule alikuwa ni mshamba sana!Walienda kidogo kidogi siyo kukurupuka kama jpm kila akiota anakuja na mamiradi inayoighrimu serikali na watu. Ndo mana alifikia hatua kuvamia na kuiba kwenye personal accounts za watu ili tu miradi iende.
Sali novena ya mtakatifu MagufuliUsiape usiape usiale. Usiape kwa mbingu wala kwa nchi. Ukisema ndiyo iwe ndiyo na siyo iwe siyo. Chichote kinachozidi hapo chatoka kwa yule muovu. Mathayo
Zaidi ya yule wa enzi za unajua mie nani.......pambaav hadi watu wa ovyo ovyo walikua wanakoromea wenye nchiYule alikuwa ni mshamba sana!
Shida ya Dola ni dalili mojawapo Ukubwa wa mamiradi yasiyo na Tija eg Kigongo-Busisi bridge ni Moja ya miradi ambayo haikuwa na ulazima na Tija yake sio kubwa kiuchumi na Kwa wananchi.Walienda kidogo kidogi siyo kukurupuka kama jpm kila akiota anakuja na mamiradi inayoighrimu serikali na watu. Ndo mana alifikia hatua kuvamia na kuiba kwenye personal accounts za watu ili tu miradi iende.
Makontena mia yanaweza bebwa na semi trailers na usigundue hapo barabarani hata ungekuwa traffick police.Laki mbona hii SGR inaunganishwa na bandari? Mbona niliona makontena zaidi ya mia pale kwala? Sidhani kama hii reli ni ya abiria tu
Ukiwasikiliza wachumi, watakwambia idadi kubwa ya watu ndio chanzo cha upatikanaji wa masoko mbalimbali. Lakini kwetu nitofauti idadi yetu kubwa ya watu haituletei faida nchini kwetu.Hivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?
Kua na buku 10 itumie ukiwa dar, na hiohio buku 10 nenda nayo nairobi uone utaishi vipiUnaona Hela ya Kenya ilivyo na thamani kulinganisha na Tanzania! Shwaini!
China ana wataalamHivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?
70% ya mizigo inaenda DRC(Lubumbashi) na Zambia ,Sasa hii ya kwenu inaenda kwenye Vinchi vina uchumi sawa na Mwanza huko Kwa M23 ndio itabeba mzigo gani? Acheni vichekesho 🤣🤣Laki mbona hii SGR inaunganishwa na bandari? Mbona niliona makontena zaidi ya mia pale kwala? Sidhani kama hii reli ni ya abiria tu
Itabeba silaha za m2370% ya mizigo inaenda DRC(Lubumbashi) na Zambia ,Sasa hii ya kwenu inaenda kwenye Vinchi vina uchumi sawa na Mwanza huko Kwa M23 ndio itabeba mzigo gani? Acheni vichekesho 🤣🤣
Wajinga na looser ndio wanaowasifu hao Gen Z na to be specific ni MachademaCha kufurahisha ni kwamba watanzania na JF atujawahi kuijadili hiyo budget ya Kenya, hatujui debt burden yao, kodi zinazopingwa na kutoa solution ya changamoto.
Ila kila uchwało kuna mada za kuwasifu vijana wa Kenya kwa kufanya vurugu, hakuna mada yenye justification ya vurugu zao; kwangu mimi hao vijana ni genge la wahuni tu (simply because I am not informed on their actual disagreement of the bill) kwa hivyo naenda na kauli ya raisi wao Ruto wengi ata hawaelewi wanagomea nini.
Shida zaidi tunajadili budget ya Kenya, yetu yenyewe atuja idadavua merit yake na kuipa marks huo ni unafiki na kupenda kuona vurugu tu.
Haiwezi kuleta maendeleo sababu wanaoisimamia ni mataahira,!Reli inaleta maendeleo gani? Kule kwenu Mbozi Kuna Tazara imewaletea maendeleo? 🤣🤣
Kama unajua Nchi Ina mataahira ,Kwa nini uendelee.kujenga kitu kisichokuletea faida? Huo sio pro max utaahira?Haiwezi kuleta maendeleo sababu wanaoisimamia ni mataahira,!
Angalia mradi wa mabasi ya mwendo kasi abiria nje nje lakini majitu yamezubaa yapo ofisini yanawaza ngono tu.
Ile sio namna ya kupinga ni uhuni; uwezi kuvamia bunge.Wajinga na looser ndio wanaowasifu hao Gen Z na to be specific ni Machadema
Wantumianhela zao. Wachina wana viwanda vingi. Na biashara nyingi. Wanatoza kodi. Serikali inapata hela kibao. Wanajenga miuondombinu ya nchinyaoHivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?