ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Baada ya kunyoosha Nchi Ili mambo yaende,nitajie kilichoenda nankilicholeta faida kibiashara.Alisimamia kunyoosha nchi ili mambo yaende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kunyoosha Nchi Ili mambo yaende,nitajie kilichoenda nankilicholeta faida kibiashara.Alisimamia kunyoosha nchi ili mambo yaende
Angetimiza miaka yake tungefikia huko, ila kwakua hajatimiza basi waliopokea hizo project kama zitaenda tofauti na vision zake basi ni hasara kwenda mbeleBaada ya kunyoosha Nchi Ili mambo yaende,nitajie kilichoenda nankilicholeta faida kibiashara.
China hawajengi miradi kwa sifa za kijinga. Wanajenga kile wanachohitajika kuwa nacho.Hivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?
Hivyo viwanda vitasafirisha hizo bidhaa kwa hio sgr,,,,SGR malengo haikua abiria tuChina hawajengi miradi kwa sifa za kijinga. Wanajenga kile wanachohitajika kuwa nacho.
Sasa Tanzania unajenga SGR matrilioni ya pesa ili ubebe watu kwa nauli ya sijui elfu 30 kwenda Dodoma, hela yenyewe umekopa. Hizo ni akili?
Badala ukope ujenge viwanda vya sukari, nguo, small oil refinery au mradi wa kufua chuma. Wewe unakopa ujenge miundombinu ambayo kazi kubwa ni kupigia picha.
China wameweza ku deal na rushwa na upotev wa pesa kwa 90%, and also wamemenage matajiri kuwa nguvu kiuchumi kuliko nchi. Everything is controlledHivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?
Kwahiyo mkopo wa SGR unasubiri viwanda vijengwe ndio uwe matured uanze kukatwa?Hivyo viwanda vitasafirisha hizo bidhaa kwa hio sgr,,,,SGR malengo haikua abiria tu
Hata wangefanya hayo malalamiko yangekuepo,,,,,.......ndo maana tunahitaji tu udikteta kwa mudaKwahiyo mkopo wa SGR unasubiri viwanda vijengwe ndio uwe matured uanze kukatwa?
Badala ya kukopa matrilioni kujenga SGR ambayo hadi sasa haijaanza kuzalisha faida. Vingejengwa viwanda pale Bagamoyo, Chalinze na Tanga vingekuwa vimeanza uzalishaji na kila mwaka vinalipia marejesho ya mkopo.
Au wangekopa tukanunua mashine za kilimo tukapiga kilimo cha ngano na mengine ndani ya mwaka uleule tungekuwa tumeanza kulipa deni kwa kutumia faida ya mradi.
Unamringanisha kwa lipi na Magufuli? Kinachomtesa Tuto ni madeni aliyoyarithi. Umeona miradi inayoendelea hivi sasa ambayo Ruto ameianzisha?Ruto ni kama Magufuri tu kasoro misimamo ya Raia na falsafa za nchi zao.
SGR itaanza kulipa marejesho lini? Tuanzie hapo.Hata wangefanya hayo malalamiko yangekuepo,,,,,.......ndo maana tunahitaji tu udikteta kwa muda
Huyu ChoiceVariable huwa mpuuzi kweli kweliComment za kijinga,,,miradi ya umeme na SgR ukisimamia vizuri hizo zinakupa pesa kuliko mikpo ye u ya kujenga vituo vya zahanati
Watu wanaongea tu kiushabiki bila kuwa na uelewa wa hayo mambo. Pamoja na SGR ya Kenya kuanza kuwa operational, yet haikuweza kuanza kulipa deni la China kama ilivyotakiwa, ni wakati China anajiandaa kuuchukua ile reli Ruto akalaximika kukooa ili ku rescue situation. Ingekuwa Tanzania angekabidhiwa aendesha hata kwa miaka 100 ijayo ili ajilipe deni.SGR itaanza kulipa marejesho lini? Tuanzie hapo.
Hivyo viwanda ambavyo vitajengwa ili vitumiwe na SGR bajeti yake iko wapi. Au nayo itabidi tukope. Na vitajengwa lini.
Yani kwamba Marekani wangeiendeleza California kisha baadae wakagundua dhahabu. Hizo akili matope hawakufanya, California yalikuwa ni mapori na ukame mpaka dhahabu ilipogundulika. Ndipo watu wakaanza kuhamia kwa tabu, ndipo ikajengwa reli na mji ukaendelezwa.
Tanzania kuna CUF,CCM,CHADEMA,DEMOKRASIA MAKINI,TADEA,TLP,NCCR-MAGEUZI,ACT-WAZALENDO,DP,UMD,UDIP,na CHAUMA.Baba wa Ujamaa duniani ni URUSI.Baba wa UBEPARI duniani ni Marekani.Labda kama ni mvivu wa kusoma historia.Urusi sio nchi ya kijamaa, Cuba sasa wanafanya reforms kama za China na Vietnam.
Hata huo ujamaa wa China una mabadiliko mengi kila pale watakapo ona uhitaji wa maendeleo ya taifa lao, wana utafsiri vile wao wanavyo taka.
Unafikiri wachina hawaandamani wenda huwafuatilii kabisa kwa ufupi huwafahamu.
Demokrasia ya vyama vingi hata Tanzania haipo, kwa nini hayupo kama hao wachina ?
Kwanza Ruto ni mwizi kama Magufuri,Pili anapenda sifa kama Magufuri,Tatu ni dikteta kama Magufuri,Nne Kenya sasa hivi kuna utekaji wa wanahabari na wanaharakati kama enzi za Magufuri,Tano ni mkabila kama Magufuri,Sita hapendi kushauriwa kama Magufuri.Asilimia tisini za sifa za Ruto ni sawa na Magufuri.Unamringanisha kwa lipi na Magufuli? Kinachomtesa Tuto ni madeni aliyoyarithi. Umeona miradi inayoendelea hivi sasa ambayo Ruto ameianzisha?
Kama unathubutu kumfananisha Ruto na Magufuli basi haujafuatilia kinachoendelea Kenya na hauzijui siasa za Kenya.
Viwanda ndo anawaletea wawekezaji huko,,,na Dp world mmeletewa sasa bandari ichangamke halafu hamna miundombinu ya kusafirisha hio mizigo, nao si ubwegeSGR itaanza kulipa marejesho lini? Tuanzie hapo.
Hivyo viwanda ambavyo vitajengwa ili vitumiwe na SGR bajeti yake iko wapi. Au nayo itabidi tukope. Na vitajengwa lini.
Yani kwamba Marekani wangeiendeleza California kisha baadae wakagundua dhahabu. Hizo akili matope hawakufanya, California yalikuwa ni mapori na ukame mpaka dhahabu ilipogundulika. Ndipo watu wakaanza kuhamia kwa tabu, ndipo ikajengwa reli na mji ukaendelezwa.
Laki mbona hii SGR inaunganishwa na bandari? Mbona niliona makontena zaidi ya mia pale kwala? Sidhani kama hii reli ni ya abiria tuChina hawajengi miradi kwa sifa za kijinga. Wanajenga kile wanachohitajika kuwa nacho.
Sasa Tanzania unajenga SGR matrilioni ya pesa ili ubebe watu kwa nauli ya sijui elfu 30 kwenda Dodoma, hela yenyewe umekopa. Hizo ni akili?
Badala ukope ujenge viwanda vya sukari, nguo, small oil refinery au mradi wa kufua chuma. Wewe unakopa ujenge miundombinu ambayo kazi kubwa ni kupigia picha.
Watu kama hawa tayari wanakuaga na upande wao , kwahio hata uwaelezee vipi mnapotezeana muda tu,,, mada inanoga kama wote mnakutana mna muda wa kupotezaLaki mbona hii SGR inaunganishwa na bandari? Mbona niliona makontena zaidi ya mia pale kwala? Sidhani kama hii reli ni ya abiria tu
Walienda kidogo kidogi siyo kukurupuka kama jpm kila akiota anakuja na mamiradi inayoighrimu serikali na watu. Ndo mana alifikia hatua kuvamia na kuiba kwenye personal accounts za watu ili tu miradi iende.Hivi kuna nchi hapa duniani inaifikia China katika kuendesha miradi mikubwa mikubwa ndani na nje ya nchi yao ya mabilioni ya pesa.
Juzi tu hapa wamezindua Shenzhen-zhongshan bridge bonge la daraja.
Mbona wachina hawalalamiki haya yanayo lalamikiwa sehemu kubwa ya Afrika na pamoja uliyo lalamikia wewe ?
ApiaWalienda kidogo kidogi siyo kukurupuka kama jpm kila akiota anakuja na mamiradi inayoighrimu serikali na watu. Ndo mana alifikia hatua kuvamia na kuiba kwenye personal accounts za watu ili tu miradi iende.