Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Mheshimiwa pona yako ili kubaki ikulu ni kuzima Internet kama Tanganyika 2020 ili hao Gen Zero wapotezane huko mtandaoni. Vinginevyo Julai haiishi unaondoka..

Linda cheo chako na washkaji zako.

BTW Chebukati kaenda wapi?
 
Mheshimiwa pona yako ili kubaki ikulu ni kuzima Internet kama Tanganyika 2020 ili hao Gen Zero wapotezane huko mtandaoni. Vinginevyo Julai haiishi unaondoka
Funga shule na vyuo vyote, zima umeme kwa muda wa alafu suspect mitandao ya kijamii.
Ukijua wapi wapo! Zima internet japo kuna hatari ya kuamsha balaa zaidi...
 
Back
Top Bottom