Hii ni kwa wanao amini ushirikina. Kenya GEN Z wengi ni vijana walio vyuoni na walio maliza (Hawana ajira)
Tatizo limekuja mswada wa sheria bajeti yenye ukakasi.
Bajeti yenye matumizi kandamizi kwa kizazi hiki na kijacho.
Kumbukumbu:Mh Rais Ruto wakati ananadi sera zake. Ziliwagusa sana GEN Z, Mama mboga, Bodaboda na makapuku wenzetu wengine, Raia wakapiga kura wakamchagua.
Fadhira:Waka wa surprised na zigo zito la hata kama {hamkula mtalipa}
Wakakiwakisha na kimewaka sana wengi tumejionea. Waliweka ukabila pembeni wakapaza sauti na tumeisikia...
GEN Z: Wakae kwenye meza na mamlaka wayamalize kwani tatizo la Kenya huzuni na majonzi kwa Tanzania...