Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Ruto zima Internet vinginevyo unaondoka

Akizima Kuna VPN watawasha na itatumika Mkuu internet kuzima sio rahisi
Unaelewa unachoongea? Ninkama tanesco wazime umeme na mitambo yao. Watu wengi wasa wanahamia kwenye solar system au source ingine ya umeme.
Akizima internet inakuwa ka show mabubu wasikilizaji viziwi na majudge vipofu
 
Zima Internet, kisha Fanya yako kama kipindi kile vurugu za uchaguzi 2007/08 we mzoefu WA hizo KAZI, mpaka ukumbushwe? ICC wakija ua mashahidi wote mpaka watu wanyooke
 
Back
Top Bottom