Kifaru cha KinyarwandaNani kashinda
mpira haujaishaNani kashinda
Dk ya 21 muda huu,Madrid wanaongoza 1Mechi ni saa ngapi hii
Kwa mara ya kwanza wachezajj wazawa Simba wameanza wengi kikosi cha kwanza.Hiki kikosi kwangu imekuwa kama surprise ,labda kama ana mbinu zake
Yeah mkuu hata sikutegemea, bila shaka tutarudi kwenye form na chemistry itapatikanaKwa mara ya kwanza wachezajj wazawa Simba wameanza wengi kikosi cha kwanza.
Vv