Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda sanamu la simba ndo bovuEti Simba mbovu dooh wachambuzi bana 🤣🤣🤣
[emoji23][emoji1787]Yanga wanauzima moto kwa kutumia kijambio[emoji38][emoji38]
Ulitapeliwa nini ?Maana yake ni kuwa kocha hajaridhika na usajili wa bench la Gomez.
Simba mwaka huu usajili ulikuwa ni wa kitapeli, basi tu watu wabishi.
Hiki kikosi, ingawa mimi Yanga kutakuwa na shughuli leo.
Chukua wewe timu upange kikosi chakoBwalya yuko wapi? Wawa sio beki, Kibu ni ujinga tu pale mbele
Kweli Mkuu..Mimi nilikuwa nagombana na watu kwa ajili ya Kagere kukaa benchi..sema nae ni mvumilivu na mwingi wa busara.Hakika
Gomes alimchukia Sana Kagere
Bila sababu ya msingi
Huyu jamaa kafuta magoli mawili ya wazi kabisaaMohamed Makaka top goalkeeper🙌🏻🙌🏻
Fala gani kanipga pichaHuyu jamaa anakufa kwa preshaView attachment 2016457
Umemuona!!!..fala Sana yule,hatujaona papuchi mwaka tupo urambo tnapasua mbao,ye anajitikisa vile!!!?Huyu dada wa first aid ana makusudi