Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,737
Basi mkuu elewa tangia leo, hiyo ni Damu ya Wakurya tangu zamani KAR ya Mkoloni, unajua haya majamaa kwa chini hayajambo, askari mmoja tu mkurya anaweza zalisha ukoo mzima, na wakazaa siku moja!Mkuu kina mbuya songea n wengi sana tena hasa maeneo ya peramiho iliwahi ishi eneo hilo ni wangoni sasa sijajua muingiliano Wa majina haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Msumbiji, S/Africa, Kwazulu Natal, kina Ghati, Chacha , Marwa si wakuuliza. mpaka na wazungu wamo, sasa nikajiuliza huyu mzungu pure huyu anaitwa Wambura wapi na wapi, kumbe ni vizazi vya kikurya chotara, vilivyo geuka na kuzalisha wazungu.
Huko Songea walikaa, kipindi kile cha Nyerere akiogopa Mreno asijeingia muda wowote akachafua nchi, so aliwatawanya uraiani ili kumpotezea Mreno. na kweli kila Mreno walipo jaribu walipata kipigo cha Mbwa mwizi. wakaamini kila raia tz ni mjeda.
Ukiwaona km ni Majemedari sana wasioogopa kitu wala mtu, macho kodo! baasi ujue ndo damu hiyohiyo! si unaona Mwenyekiti hakuogopa kituo wala singe! angekuwa Makonde, sijui Muha, Mhaya weee! angetimua mbio mpaka uvunguni kwake!