Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

tatizo ni uafrika, bado unaamini upuuzi huo rafiki yangu. Albert Einstein alituambia kuwa E=mc2 . Albert Einstein alitwambia kuwa time can contract (muda unasinyaa, dakika moja siyo universal, kwamba kuna fourth dimension inaitwa spacetime na ndiyo inatuwezesha kuwa na GPS wewe bado unaamini kakakuona (nisamehe mpendwa)
 
Hiyo E=mc2 mana yake nini ?
 
Hiyo E=mc2 mana yake nini ?
google......................special theory of relativity (naju unajua haya mambo unataka kusumbua)

Albert Einstein's 1905 theory of special relativity is one of the most important papers ever published in the field of physics. Special relativity is an explanation of how speed affects mass, time and space. The theory includes a way for the speed of light to define the relationship between energy and matter β€” small amounts of mass (m) can be interchangeable with enormous amounts of energy (E), as defined by the classic equation E = mc2
 
google......................special theory of relativity (naju unajua haya mambo unataka kusumbua)
Aiseeee kwa kweli... πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚CCM wamemleta kakakuona wakati wa mitihani.Shukrani zimfikie nani,sijajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…