Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

Kuna vitu humu watu mmecomment kwa kuponda "asili". Hizi ni imani za kawaida toka enzi za zamani, kuonekana kwa kakakuona ni dalili ya kutokea jambo jema sio lazima wafaulu mitihani tu.
Sio asili ni ujinga
 
Swafiiii sana sana walahi
Mambo mema yatawafikia walahi!
 
Afrika na imani za kichawi mmmh
1668681441111.png
 
Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
Wao wanaamini ni neema kwetu sisi huyo ni kitoweo tu
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
mambo haya yapo hata ulaya...
yule mbuzi kwenye msiba wa malkia alikuwa wa nini....kila sehem na imani yake na nyingine zinafanya kazi
 
Afrika uchawi na imani za hovyo zinatukuzwa kweli[emoji706]
 
Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
Mkuu kapicha basi kha
 
Back
Top Bottom