Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

Tatizo la ujinga bado ni kubwa sana nchini

Imagine hao ni wasomi, wanafanya mtihani na wana imani kama hizo.Je wale wasiokwenda shule kabisa?!

Elimu yetu haitusaidii kuondokana na ujinga.
Watakua kama Yule jamaa wa Mtwara aliyeulizwa nini maana ya elimu bure, akajibu ni kitanda kilichotandikwa Watu wamekaa na kuongea ongea.
 
wenye mamlaka wanapiga ramli na wananchi nao wanapiga ramli.

Haya mabinti mtegemeeni kakakuona mkafanye mitihani mtafaulu.

Mara paap Kakakuona kaonekana Sinza kona bara kwa wale madada au Tabata pale kitambaa cheupe...kama sio nextdoor oysterbay.
 
Hapo watakua wamempelea unga, maji, na ujinga gani sijui ili achague, wakati feo iko porini na ovious alikua kwenye safari zake sasa anapopita kakuta kuna makazi tayari au alikosea muda hua anapita usiku hali ya hewa imemchanganya kapita mchana ndio kumuona wangoni wamepagawa
 
Afrika na imani za kichawi mmmh

Unashangaa nini wakati mgonjwa anaumwa hoi watu wanampeleka kwa mganga wa kienyeji kutibiwa kua karogwa kikohozi kumbe mtu ana TB au ana sukari anaamini karogwa, mwingine wa mbeya alinieleza eti kuna ukimwi wa kurogwa ndio amerogwa yeye , tunaishi kama wendawazimu basi tu
 
Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.

Aiseee watapa wote One ya Pointi 7 with Straight A's.
 
Kuna vitu humu watu mmecomment kwa kuponda "asili". Hizi ni imani za kawaida toka enzi za zamani, kuonekana kwa kakakuona ni dalili ya kutokea jambo jema sio lazima wafaulu mitihani tu.
 
Dah kitoweo changu hicho nimekula sana mishikaki yake. Nyama yake Tamu hatari
 
Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
kakakuona wamejaa tu kwenye mbuga za wanyama huko na ukiwaona huku mitaani jua wamepotea njia walikuja kutafuta chakula chao. hivi kweli hadi leo watu wanaamini kakakuona ni mnyama adimu ambaye akipatikana anaashiria bahati? if that was the case, mbona matajiri wakubwa wanao uwezo kununua kakakuona toka nchi yeyote wawafuge, tungekuwa na ufugaji wa kakakuona hapa duniani kama hiyo ingekuwa kitu cha kweli. tusingehangaika kufuga kuku wala ng'ombe.
 
Back
Top Bottom