Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Sio asili ni ujingaKuna vitu humu watu mmecomment kwa kuponda "asili". Hizi ni imani za kawaida toka enzi za zamani, kuonekana kwa kakakuona ni dalili ya kutokea jambo jema sio lazima wafaulu mitihani tu.
Hahaha [emoji23]Tutarajie mimba nyingi shuleni hapo.
Huyo binti kapoteza Bahati!!
Na mbunge wao ana tarajia kurejea jimboni kuungana na wapiga kura wake kufurahia kuonekana kwa mnyama huyo
Afrika na imani za kichawi mmmh
Wao wanaamini ni neema kwetu sisi huyo ni kitoweo tuMnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
π π umewaza nini?Unaweza kushangaa mwanafunzi aliyemuona Kwa Mara ya kwanza Akala shavu. Nchi Ina Raha sana hii.
π π umewaza nini?
Salama kabisa rafiki, wewe?We acha tu! Uko salama lakini?
Mungu ni mwema, tunafuatilia hapa tukio la kakakuona.Salama kabisa rafiki, wewe?
Ashukuriwe mama clock100Mungu ni mwema, tunafuatilia hapa tukio la kakakuona.
Mkuu kapicha basi khaMnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
kwenye post #2 kuna videoMkuu kapicha basi kha