Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Nov 18, 2022 #61 Donnie Charlie said: Click to expand... Nimeangalia video napata hisia tofauti sana. Wenye akili watanielewa
Donnie Charlie said: Click to expand... Nimeangalia video napata hisia tofauti sana. Wenye akili watanielewa
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Nov 18, 2022 #62 dronedrake said: Ujinga Ujinga Ujinga Click to expand... Upo sahihi mkuu. Tunalazimishwa kuishi kwa ubuyu ubuyu... Kakakuona ni mnyama na siyo wakala wa Mungu
dronedrake said: Ujinga Ujinga Ujinga Click to expand... Upo sahihi mkuu. Tunalazimishwa kuishi kwa ubuyu ubuyu... Kakakuona ni mnyama na siyo wakala wa Mungu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 18, 2022 #63 The Monk said: Unaweza kushangaa mwanafunzi aliyemuona Kwa Mara ya kwanza Akala shavu. Nchi Ina Raha sana hii. Click to expand... Na kweli.....aonyeshe tu picha akiwa nae.
The Monk said: Unaweza kushangaa mwanafunzi aliyemuona Kwa Mara ya kwanza Akala shavu. Nchi Ina Raha sana hii. Click to expand... Na kweli.....aonyeshe tu picha akiwa nae.
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Nov 18, 2022 #64 Sandiego said: Huyo binti kapoteza Bahati!! Gamba lake moja ni sawa na mil2. Click to expand... Wapi wanauza hivyo na kutoa kiasi hiko cha pesa ?
Sandiego said: Huyo binti kapoteza Bahati!! Gamba lake moja ni sawa na mil2. Click to expand... Wapi wanauza hivyo na kutoa kiasi hiko cha pesa ?