Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Ni wakati wa Lisu hakuna wa kimzuia mpaka jumba jeupe
View: https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff
Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli
Chadema ipi ya mwanza na Mara inayomuunga mkono mbowe ?Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
Naunga mkono hojaNi wakati wa Lisu hakuna wa kimzuia mpaka jumba jeupe
Kama zipo mbili basi jua ile unayoifahamu weweChadema ipi ya mwanza na Mara inayomuunga mkono mbowe ?
Naunga mkono hoja
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
View: https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff
Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli
ni mbishi hasomi alama za nyakatiunataka kusema hii aibu FAM kajitakia kwa kushindwa kusoma alama za nyakati
a new age has came
Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeeeMikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
Angejiuzulu tu huyu mzeeunataka kusema hii aibu FAM kajitakia kwa kushindwa kusoma alama za nyakati
Kasema anaingia kwenye box tumuache ila Uchaguzi uwe free and fair.Angejiuzulu tu huyu mzee
Mbowe mbishi sanaKasema anaingia kwenye box tumuache ila Uchaguzi uwe free and fair.