Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

unataka kusema hii aibu FAM kajitakia kwa kushindwa kusoma alama za nyakati
 
Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
 
Chadema ipi ya mwanza na Mara inayomuunga mkono mbowe ?
 
Naunga mkono hoja
1736663437258.jpg
 
Lissu asihadaike na mambo ya mtandaoni, imifikaga uchaguzi wajumbe hawapigagi kura. Asijesema ameibiwa
 
Mikoa mingine ni ipi? Nauliza kwasababu Chadema stronghold regions ni Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Iringa, Mara na Dar. Hawa wote wapo na Mbowe. Maana yake Lissu anaungwa mkono na weaker regions sio? Matokeo yake ni yapi iwapo atashinda?
Mara hatuwezi kuwa na Mbowe shika adabu yako weeeee
 
Back
Top Bottom