Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Acha upuuziKamanda kilaza
Unatuaibisha wenzio,hizi siasa zako zilifaa enzi za Mwendazake
Ushapitwa na wakati,wenzio sasa tunalamba asali za maridhianoAcha upuuzi
Mkuu huyu ni mwenzako? Kilimbatzz ushakua kijana wa mboga mboga kumbe!!!Kamanda kilaza
Unatuaibisha wenzio,hizi siasa zako zilifaa enzi za Mwendazake
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Miye mbogamboga kitambo,Mkuu huyu ni mwenzako? Kilimbatzz ushakua kijana wa mboga mboga kumbe!!!
Bora na wewe umeliona hiloTulia wewe punga wa CCM.
Kamanda asiechoka wa konyo!!! Wee endelea kutafuta riziki yako hapo Lumumba. NB; Utawala wa sasa hautaki misifa mzee, enzi zile ungeshapata udc!!Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Nashukur umemwambia ukwel! Lkn kwani linasikiaga sasa 🤣🤣🤣Miye mbogamboga kitambo,
Aaache siasa hizo aje kivingine
Haaaa kamandaTulia wewe punga wa CCM.
Kamanda keshajichokea tena choka mbaya. Wewe ng'amg'ana na ukamanda wenzako familia zao zimeachwa majuu.Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Unatutukana?Kamanda keshajichokea tena choka mbaya. Wewe ng'amg'ana na ukamanda wenzako familia zao zimeachwa majuu.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
mapunga ya sukuma gang yaliyozoea kuuwa watu 2025 tinaenda kuyafuta kabisa hata udiwani hayapati.Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?
Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?
Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
kama sukuma gang mlishindwa kipindi cha mzoga wenu mlioutelekeza hata kuomboleza juz mje muweze leo ndoto za alinacha.Mbowe kalamba BILLION 5