Ruzuku na asali za CCM ndio zimetufanya kusahau michango ya makamanda? Hiki kiburi cha muda kitaisha tu

Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?

Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?

Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Kamanda asiechoka wa konyo!!! Wee endelea kutafuta riziki yako hapo Lumumba. NB; Utawala wa sasa hautaki misifa mzee, enzi zile ungeshapata udc!!
 
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?

Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?

Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
Kamanda keshajichokea tena choka mbaya. Wewe ng'amg'ana na ukamanda wenzako familia zao zimeachwa majuu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Bora adui wa mbali kuliko adui ndugu(wa karibu) huwezi kuwa kamanda wa Chadema lakini kutwa unalalamika kuhusu Chadema.
 
Tunasahau kuwa tulikuwa tunachangishana kwenye shida na raha?

Tunasahau mabakuli waliopitisha vijana wa Bavicha na kuingiza pesa kwenye akaunti zao binafsi za M pesa?

Hii ruzuku na asali za CCM zimefanya kuwa na kiburi kiasi cha kusahau umuhimu wa michango ya makamanda.
mapunga ya sukuma gang yaliyozoea kuuwa watu 2025 tinaenda kuyafuta kabisa hata udiwani hayapati.
 
Back
Top Bottom