Ruzuku ya CHADEMA ni Wanachama siyo pesa ya Msajili

Hizo akidi nani alikuambia hazikutimia, msajili?
Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.
 
Kama ambavyo CDM mmemfukuza Mchome?
Mchomlni kama gwajima tu. Sasa haruhusiwi kwenda ofisi yyte ya ccm kwenda kuchukua fomu ya kugombea ( source, uvccm Dar) . Tunaishi kwenye nchi ambayo mtu akihoji ukweli kama gwajima na lisu ni " HAINI"
 
CCM haikufuata utafatibu kwa mujibu wa katiba ipi? Maana mkutano mkuu una mamlaka ya kupitisha jina la mgombea urais na akidi ilitimia!! Narudia tena UTOTO unaiua CHADEMA!
Ndio mkuu no reform no election kabisa βš’οΈ πŸ’―
 
Heheheh
 
Kuna tofauti kidogo unachosema ni maneno ya Mr Mbowe alikuwa na internal sources za hela wewe huna. Hata Mr Lissu alipangiwachango milioni 30 akashindwa akaenda kwa mashoga EU akakosa.
 
Hakika
 
Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.
Hatua zote za mkutano mkuu wa Chadema zilishuhudiwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
 
Badala ya kupambana na ccm inayovunja katba ake kwa kumptsha mgombea wao kijanja yeye anadil na Chadema.. kipind hiki tutaheshmiana ni suala la muda
 
Nilichogundua mwenye mapengo mpe kande za moto achague kutema au kutafuna mazima akibubujika machozi!
Hapo ni chaguo unajua ikishindikana kwa huruma basi itatumika hasira wao ndio wakuchagua, maana wengi wanao Unga mkono Hawana mikono kilichobakia ni hasira ya maneno yenye vigugumizi.
 
Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.
Huyo ni mwanachama wa Chauma.
 
Hatua zote za mkutano mkuu wa Chadema zilishuhudiwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
Sasa shida ni nini?Si wapeleke huo ushahidi wa akidi.Kukaza fuvu hakutawasaidia.
 
Sasa shida ni nini?Si wapeleke huo ushahidi wa akidi.Kukaza fuvu hakutawasaidia.
Based on KM Mnyika ushahidi wote msajili amepewa. Agenda ni kuiua chadema iwe mvua liwe jua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…