Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.Hizo akidi nani alikuambia hazikutimia, msajili?
Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.Hizo akidi nani alikuambia hazikutimia, msajili?
Hahaa 😀😀😀😀 liyepangishiwa gesti na msajili.Mchome
Kama ambavyo CDM mmemfukuza Mchome?Unajua kwamba kuna mwana ccm alifukuzwa kwa kuhoji maamuzi ya mkutano ule? Kama ilikuwa halali yule mwanachama alifukuzwa kwa nn?
Mchomlni kama gwajima tu. Sasa haruhusiwi kwenda ofisi yyte ya ccm kwenda kuchukua fomu ya kugombea ( source, uvccm Dar) . Tunaishi kwenye nchi ambayo mtu akihoji ukweli kama gwajima na lisu ni " HAINI"Kama ambavyo CDM mmemfukuza Mchome?
Ndio mkuu no reform no election kabisa ⚒️ 💯CCM haikufuata utafatibu kwa mujibu wa katiba ipi? Maana mkutano mkuu una mamlaka ya kupitisha jina la mgombea urais na akidi ilitimia!! Narudia tena UTOTO unaiua CHADEMA!
No reform no election ⚒️ 💯Mwambie aifute, mshauri yeye aanze kwanza kufuata sheria sio kuilazimisha Chadema ifuate wakati yeye anazivunja.
HehehehUna akili ndg hao ndio maana wameitwa nyumbu wanaendesha siasa za kishamba. Hao wanachama wanaowasema wenyewe hawana uhakika nao hawa wanaoandika humu mitandaoni ni km misukule hawana ht kadi ni washabiki na wachochezi tu, wengine ht siyo watanzania. Wanàohudhuria mikutano wengi wanaendaga tu kujiburudisha na zile povu wanazotoa majukwaani, mi niko wilayani nayajua haya. Mwisho chadema inaweza kufutwa wakiendelea na upuuzi wao na hakuna ht nzi atafanya chochote, watanzania tunawajua na nchi yetu tunaijua sisi yatapita km mengine yaliyopita. Chama gani hakitaki kutii mamlaka zilizopo?
HakikaSio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa kutoka serikalini lkn kama hakina base ya wanachama kitakufa tu naturally. eg. ACT Wazalendo bara, inapokea ruzuku nyingi za wazi na za nyuma ya pazia lkn haina wanachama inakufa kifo cha asili same as Chauma.
Hatua zote za mkutano mkuu wa Chadema zilishuhudiwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasaKuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.
Huyo ni mwanachama wa Chauma.Kuna mwanachama aliyepeleka malalamiko na ushahidi. Alikuwepo kwenye mkutano.Chadema wangepinga kwa kuonyesha ushahidi kwamba akidi ilitimia.Kukaza fuvu ni ujinga.
Sasa shida ni nini?Si wapeleke huo ushahidi wa akidi.Kukaza fuvu hakutawasaidia.Hatua zote za mkutano mkuu wa Chadema zilishuhudiwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
Mutungi ni mjinga, huyu anajua kila kitu lakini amechagua kutumikaSasa shida ni nini?Si wapeleke huo ushahidi wa akidi.Kukaza fuvu hakutawasaidia.
Nami kianzia next week ninaongeza tone tone yangu mara tatu.Baada ya kusoma hii post nimekumbuka bado siku 3 nitume tone tone yangu. Kila trh 01 natuma kiasi fulani....
Based on KM Mnyika ushahidi wote msajili amepewa. Agenda ni kuiua chadema iwe mvua liwe jua.Sasa shida ni nini?Si wapeleke huo ushahidi wa akidi.Kukaza fuvu hakutawasaidia.
Hiyo chadema unayoizungumzia inakufa ni ipi tena?Narudia tena huu UTOTO ndo unakiua CDM!!