Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Hongera zao, chadema wajipange,watumie njia zote ardhini, majini, nchi kavu nk
 
Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni


MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar Es Salaam.
Heshima yako.
Gari bila nyumba ni utoporo
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguz anachukua magari yake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nembo tiu inakutosha kijiua na ya nani Wahuni wenu kina Lijuakali waliwadanganya mkaingia mkenge
 
Wameua brand name ya chama na kutumia kauli mbiu, tena kwa vifupi, tena kwa Viingereza.

Wanavijiji nchini kote wanavyojua wao jina lao limebadilika, wakaulizwa kwenye fomu ya uchaguzi wa serikali za mitaa, Jina la chama kinachokudhamini? Wakajaza MOVEMENT FOR CHANGE

Chama Cha Mapinduzi wakapita bila kupingwa nchi nzima!

Upinzani wetu masikini ya Mungu una njia ndefu sana mbele.
 
mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Una ushahidi wa huo ufadhili au unaongea siasa?
Pili kazi ya ruzuku kwenye vyama ni nini? Kwamba hawaruhusiwi kabisa kununua magari au?
Grow up man
 
Tuwekee na kadi za hayo magari tuond mmiliki wake ni nani, maana nasikia magari yote yana jina la Mbowe, baada ya uchaguz anachukua magari yake
Kadi za magari ziko oficin. Na sidhan kama kuna gari lina jina la mbowe
 
Back
Top Bottom