Uchaguzi 2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

Hii picha itafanya watu anuneee....mwaka huu tutafika wengi kwa pressure ya kushuka...maana ile ya kupanda ishapanda tiari
 
Billioni 8 = 6 double cabins oops 25 reconditioned registered in the name of DJ Mbowe aka mlevi wa konyagi.
 
Hujaelewa mkuu, mtoa mada kasema zimenunuliwa kwa fedha za ruzuku bt sio kweli, shida ya machadema wengi hamuijui chadema vzuri mnarukia rukia tu mambo.
Hongereni lakini mnayo ofisi ya chama dodoma????, maana mnahitaji kukutana na wanachama mara baada ya Lissu kuchukua form.CCM walikutana ofisini kwao. Miaka 20 hata ofisi hamna dodoma duuuu
 
CHADEMA wana akili sana, siasa zinahitaji uwekezaji kwenye CAPEX kama hizi na sio kuwa na mjengo usiokuwa na maana.

Ndo mana benk wana mabilioni lakini wanapanga. Issue ni matumizi sahihi ya pesa
No. Yaani kuwa na jengo la ofisi hakuna maana?! unaona bora kuendelea kupanga kale kakibanda pale Ufipa!

Tangu lini ukapanga matumizi sahihi ya pesa kwenye mali inayohamishika?!
 
Na mlivyo WAONGO na majizi ya kutupaaa.

Hizo picha za miaka ya nyuma Sana.

Then hayo ndomajibu yenu ya utafunaji wa fedha za rudhuku(fedha za wavuja jasho sisi)?

Kikundi chenu hicho Cha upigaji ni hatari Sana kwa nchi
 


Skay, wewe ni kamanda??!!🤣
 
Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Mbona simu unayotumia,hata chupi uliyovaa vyote ni vya mabebelu!
 
usijitoe faham beberu linalozungumziwa hapa unalijua, chadema ni wapinzani uchwara kila kitu wanapinga bt hata siku moja hatujasikia wakipinga kupokea ruzuku hapo ndo mnapaswa mjiongeze nyie mbulula mnaopa support
Wewe ndiyo mburula hujui kitu zaidi ya kukariri zidumu fikra zisizo sahii za mwenyekiti wa CCM, fikra za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani
 
Hongereni sana 'Watani' zangu wakuwa CHADEMA ni hatua nzuri, ila ombi langu tu Kwenu ninaomba 'Madereva' wasiwe wanatokea tu Kilimanjaro.
Ungependa wote watoke kwenu Chato kama wale wa Ikulu? Waombe tu watafikiriwa maana magari ni mapya yatahitaji madereva wapya.
 
Na mlivyo WAONGO na majizi ya kutupaaa.

Hizo picha za miaka ya nyuma Sana.

Then hayo ndomajibu yenu ya utafunaji wa fedha za rudhuku(fedha za wavuja jasho sisi)?

Kikundi chenu hicho Cha upigaji ni hatari Sana kwa nchi
Ruzuku ya CCM inapigwa kifisadi mpaka le mutuz anaitafuna siku CAG akikagua ruzuku ya CCM watafungwa mpaka wasitaafu wa CCM waliopo vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…