kama jina lenyewe ni SIJIJUI unatarajia hapa kuna kitu utakijua.Wewe umeadhiriwa na utopolo unaozungumza na viongozi wako kwenye majukwaa.Kama makusanyo ya Kodi ni 1 T kwa mwezi na mishahara tu ya wafanyakazi unalipa 700B a month,niambie hiyo fedha ya ndani ya kutumia inatoka wapi? Lakini pia hivi unakumbuka nani alificha takwimu za kukopa? Je ni yule anayesema anatumia pesa za ndani au ni beberu? Hii corona ikiendelea na mpango and Mr jalala wasipate nafasi ya kwenda kutembeza bakuri kwa beberu just wait uone Ile budget ya matirioni Kama atatekelezwa hata kwa 30%
Hili nilililalamikia sanaCHADEMA na tofautiana nao kushindwa kujenga makao makuu ya chama hata ofisi ya milioni 300 ya kisasa ambayo haina BOQ
Kwa hiyo milion 400 kwa miezi mnne ni sawa na Bilioni 19??Najaribu kupiga hesabu za kufikirika hapa. Ebu fikiria Chadema wanapokea ruzuku milioni mia nne(TZS.400 million) kwa mwezi. Pia fikiria kuwa mpaka sasa wamepewa ruzuku kwa miezi yote ndani ya miaka minne. Hivyo, mpaka sasa watakuwa wamekusanya karibu bilioni kumi na tisa (TZS 19 bilioni). Pia inasemwa wabunge wake walikuw wanakatwa mishahara/ posho kila mwezi kwa ajili ya kuendesha chama na mambo mengine.
Sasa turudi kwenye ununuzi wa magari. Ebu fikiria kwa wastani kila gari limenunuliwa kwa shillingi 60 milioni( pamoja na kodi na ushuru). Hivyo, Chadema watakuwa wametumia shilingi 1.5 bilioni kwenye ununuzi wa magari.
Bilioni 19 kutoa bilioni 1.5 zinabaki 17.5 bilioni. Sema bilioni 7.5 zimetumika kwenye shughuli za uendeshaji chama. Je. bilioni 10 za ela za kitanzania ambayo ni sehemu ya ruzuku imetumika kufanya nini!? Nimetoa maelezo haya nikijua yupo CAG anaye kagua mahesabu. Mimi si mkaguzi bali najaribu kufikiria namna Chadema wanavyotumia ruzuku.
labda nyie madem zao ndo yatawapanda.28 oktoba mabeberu yatawapanda subirini...mnayataja sana
Nafikiri huu si utaratibu wa kujibu hoja. Ukiona napungufu ya hoja, unachokifanya nikuonyesha na kuyaweka wazi mapungufu hayo kisha unaweka na ushahidi kudhibitisha mapungufu ya hiyo hoja.Kabla ya kukujibu huo utumbo, nakutaka ulete uthibitisho kwamba bilioni 10 zimeshatumika. Kama hazijatumika, kuna tatizo gani?
Kwa hiyo we kila hela unayoipata unanunulia mapulizo tu, hauna mahitaji mengine?Ndio ruzuku ya miaka mitano hiyo
Mmenunua au mmeyakodi?!Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Kadi za magari ziko oficin. Na sidhan kama kuna gari lina jina la mbowe
DA UONGO MWINGINE MUWE MNADANGANYANA WENYEWE TU HUKO SASA HIZI GARI ZA UCHAGUZI ULIOPITA UNALETA PICHA ZA ZAMANI HAPA UNAJITIA AIBU KWAKWELI ANGALIA KWANZA CHINI KUNA MVUA IMENYESHA TUNAZIKUMBUKA SANA HIZO GARI-- nawafokeaMlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
Sio mkopo?Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
acha kudanganya umma ya zamani hayoYamenunuliwa
Wakiongea na Ccm ni wadau, wawekezaji, mabalozi etc. Lakini hao hao wakiongea na Cdm ni mabeberu ?!. Binaadamu tumezaliwa na unafkiMkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.
Mkuu tindo sidhani kama kuna mtu anayekataa suala la ujenzi wa ofisi za chama isipokuwa halipaswi kuwa kipaumbele namba moja kwa sasa.
Kama ulivyoshauri 'mbeleni huko' ni sahihi kabisa. Baadhi ya watu wanapigwa porojo kwamba Cdm haifai kupewa nchi sababu haina ofisi.
Well, wangejenga ofisi nchi nzima kisha wakati kama huu wa uchaguzi wangetumia majengo kuwafikia wananchi?
Ni ukweli kwamba chama bado hakijawa na rasilimali za kutosha kufanya kila jambo hivyo issue ya vipaumbele ni muhimu sana, so far so good [emoji111][emoji111]
Sio utaratibu wa kujibu hoja? Pumbavu wewe! Unanipangia mimi namna ya kujibu? Salimia lile jibwa la kakonko.Nafikiri huu si utaratibu wa kujibu hoja. Ukiona napungufu ya hoja, unachokifanya nikuonyesha na kuyaweka wazi mapungufu hayo kisha unaweka na ushahidi kudhibitisha mapungufu ya hiyo hoja.
Mfano, ungekuja na maelezo kuwa , ndugu TUJITEGEMEE, maelezo aliyotoa si sahihi kwa sababu zifuatazo
1. Chadema inapata kiasi cha shillingi kadhaa cha ruzuku kwa mwezi, na kwa miaka minne Chadema wamepata jumla shillingi kadhaa cha ruzuku.
2.Chadema wanawatoza wabunge wao kiasi kadhaa kutoka kwenye posho/ mishahara yao. Kwa miaka minne chadema wamekusanya kiasi kadhaa kutokana na tozo hizi
3.Matumizi ya kawada ya Chadema nikiasi kadhaa kwa mwezi na kwa miaka minne wametumia kadhaa
4. Magari yaliyonunuliwa yametumia kiasi kadhaa cha shilingi za kitanzania.
5....
6.....
Nakadhalika nakadhali.
Na mwisho ungehitimisha kuwa kwa maelezo hayo hapo juu, hesabu za kufikirika za Ndugu TUJITEGEMEE si sahihi.
Kwa kufanya hivyo, Mkuu, ungekuwa umerarua hoja yangu barabara.
===
Karibu sana uirarue hoja yangu.
kwani CAG hakuona hizo pesa za mabeberu kwenye taarifa yake? Maana pesa za vyama zinakaguliwa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali. Ingekuwa za mabeberu angekaa kimya kweli? Think outside the box ndugu.Mkuu hujui kitu, hayo magari yametokana na ufadhili wa mabeberu alafu we unaleta habari za ruzuku.