Mkuu
tindo sidhani kama kuna mtu anayekataa suala la ujenzi wa ofisi za chama isipokuwa halipaswi kuwa kipaumbele namba moja kwa sasa.
Kama ulivyoshauri 'mbeleni huko' ni sahihi kabisa. Baadhi ya watu wanapigwa porojo kwamba Cdm haifai kupewa nchi sababu haina ofisi.
Well, wangejenga ofisi nchi nzima kisha wakati kama huu wa uchaguzi wangetumia majengo kuwafikia wananchi?
Ni ukweli kwamba chama bado hakijawa na rasilimali za kutosha kufanya kila jambo hivyo issue ya vipaumbele ni muhimu sana, so far so good [emoji111][emoji111]