Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

Walijaribu kuchokoza nyuki wakapokea Kibano kikali kule Mkoa wa pwani kusini wakakimbilia mozambique hawajarudi tena . Pale mpakani mwa Tanzania na Mozambique walijaribu mara moja walichokoza kwa kuvuka mpaka kwa kushitukizia na kuwasumbua kijiji cha mpakani wakarudi upesi Mozambique , mpaka leo hawajatamani kurudia tena kuwasumbua . Tofauti na Shabab kila kukicha wanaleta madhara kenya ambalo ni jambo la kusikitisha , mkenya akidhurika ni maumivu kwa afrika mashariki yote,vizuri mataifa ya africa yanatakiwa kuiga wazungu na kushirikiana kuondoa ugonjwa wa ugaidi.
Marekani ni super power Lakini anapenda kushirikiana
 
nakubaliana na wewe hawa komando wetu wameshavuruga sana huko
 

Kuchinja wanavijiji ndiko unaita kusumbua, huu uwoga wenu utawacost sana, hao wa huko Amboni walikua watoto waliolewa mipombe na bangi, hawakua wamefikia hadhi ya mashababi bin shetwan ambao hujitoa mhanga, hivyo pambaneni na ugaidi acheni misifa ya kijinga bado hamjakumbana na shughuli yenyewe, bora kuizuia mapema.
 
Magaidi wanaogopwa zaidi ya JWTZ maana wanachinja vijijini kabisa.

Magaidi wanapaswa kupigwa kabla hawajateka Msumbiji, ukiingiza mkia kwenye miguu muda huu ndio watazidi kuota mapembe na kuhatarisha ukanda wote huu.


Wewe ni mpumbavu!

Sisi tumeharibu uchumi wetu kwaajili ya matumizi ya kijeshi kuleta rule of the majority kwa nchi karibia zote kusini mwa Afrika, mbwa!

Kabla ya kikundi cha wahuni kulikua na Portuguese army, tulideal nalo mpaka 1975 na baada ya hapo, South African apartheid pamoja na Ian Smith wa Rhodesia now Zimbabwe, waliunda Jeshi la Renamo.

Tulienda sawa na Renamo na kuishikilia Mozambique yote kiulinzi jama territory ya Tanzania, na Wanajeshi waliokufa kwenye vita hiyo Wanezikwa "Naliendele Cemetery".

Naliendele Cemetery - The Zimbabwean.co.zw


Kwa sasa tupo bize na uchumi na hatuna muda wa mambo kama hayo, tulisha play part yetu kubwa mno kwa nchi hizo.

Waambie hao wendawaazimu, wafanye kama walivyofanya kwenye Mall Nairobi, or walivyo wachinja wanafunzi Garissa. Not so long ago, huko DRC kulikua na M23 backed by Uganda na hao Rwanda, walizimwa kama mshumaa.
 
Huyo kilaza kaanzisha hii mada kutuchimba tu,akukua na haja ya comment kama hii maana lengo la muanzisha mada kujua kiundani nini kinaendelea msumbiji
 
Ninyi hamumfahamu vizuri Kagame na Museveni.Wale hata iwe somalia ama afganistan watapeleka ili askari wawe buzy.Kinyume na hapo wakikaa idle watawapindua.Na wakati mwingine pesa za kuwalipa hawana.
Inawezekana hata US hua inawapeleka wanajeshi wake mission mbalimbali huko duniani maana wakikaa idle wanaweza kuipindua serikali na hawana pesa ya kuwalipa, hahaha.
 
Ww huwaga pumbavu flani hivi, Nashangaa wanaokazana kukujibu
 
Ninyi hamumfahamu vizuri Kagame na Museveni.Wale hata iwe somalia ama afganistan watapeleka ili askari wawe buzy.Kinyume na hapo wakikaa idle watawapindua.Na wakati mwingine pesa za kuwalipa hawana.

Kagame inapaswa apewe uongozi wa Afrika, jamaa yuko vizuri sana sio mwoga mwoga.
 
Ndio hivyo yaani, tunaposema muache kuingiza mikia kwenye miguu muanze mapambano maana tunajua hawa kunguni walivyo wakiachiwa watamalaki. Wanajiingiza kwenye jamii na kujimix, kuja kushtukia wanafanya yao.
Safi.. Upo vizurii
 
Inawezekana hata US hua inawapeleka wanajeshi wake mission mbalimbali huko duniani maana wakikaa idle wanaweza kuipindua serikali na hawana pesa ya kuwalipa, hahaha.

Hii kweli, haipaswi wanajeshi kuwa idle kazi yao tu kuonekana siku za maadhimisho wakipasua matofali.
 
Mbona Tz, nao wameshapeleka?!!huna habari hiyo?!!
 
Hivi msumbiji wao hawana jeshi la kupambana na hao wazaramo wa kibiti
 
Mbona Tz, nao wameshapeleka?!!huna habari hiyo?!!

Hehehe!!! Kwa hivyo mlipeleka kwa kuficha ficha...haya bana ila hiyo poa pia badala ya wao kusubiriwa tu siku za maadhimisho ndio wanapasua matofali kuonyesha ubabe.
 
Hehehe!!! Kwa hivyo mlipeleka kwa kuficha ficha...haya bana ila hiyo poa pia badala ya wao kusubiriwa tu siku za maadhimisho ndio wanapasua matofali kuonyesha ubabe.
Ze mwanamgambo jeshi is real real fucked up chap. His story does not add up frankly.
 
"Rwandan troops will join forces with troops deployed under the Southern African Development Community (SADC)" ,

Unadhani kwa iyo kikosi jwtz watakosekana?
Rwanda wanataka kuingia sadc, so ni lazima ashobokee issues kama hizi
Mlishasema kwamba mnaogopa kuenda Msumbiji.
 
Sasa Tanzania tunaingiaje hapo man, we Foo nn, wacha kiherehere, y you Kenyans obsessed with Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…