Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

Hakuna mtu anayetamani vita, kwanza hatutaki kabisa, ila haimaanishi tukichokozwa ndio tukunje mikia, la sivyo wanajeshi watakua wa mapambo tu wa kuonyesha makucha siku za maadhimisho. Wanavijiji wenu walichinjwa kama mbuzi, leo utakuta waliosalia wanaishi kwa uwoga sana na misongo ya mawazo ila siku za maonyesho wanaona kwa TV wanajeshi wenu wanapita na magwaride yao.
Magaidi yakiizidi Msumbiji nguvu na kuteka taifa lote mjue hamtakua salama kwa uwoga wenu huo, mjue wale ni Wabantu walioaminishwa pumba za kidini, hivyo wana uwezo mkubwa sana kuhusisha vijana wenu na kusumbua kwenu ndani kwa ndani. Wanapaswa kukatwa mizizi mapema, tena waparamiwe na mataifa yote kwa pamoja, akigeuza huku kipodo, kule kipodo...yaani hakuna sehemu salama kwake.
Walijaribu kuchokoza nyuki wakapokea Kibano kikali kule Mkoa wa pwani kusini wakakimbilia mozambique hawajarudi tena . Pale mpakani mwa Tanzania na Mozambique walijaribu mara moja walichokoza kwa kuvuka mpaka kwa kushitukizia na kuwasumbua kijiji cha mpakani wakarudi upesi Mozambique , mpaka leo hawajatamani kurudia tena kuwasumbua . Tofauti na Shabab kila kukicha wanaleta madhara kenya ambalo ni jambo la kusikitisha , mkenya akidhurika ni maumivu kwa afrika mashariki yote,vizuri mataifa ya africa yanatakiwa kuiga wazungu na kushirikiana kuondoa ugonjwa wa ugaidi.
Marekani ni super power Lakini anapenda kushirikiana
 
Wapo watu wetu huko wanafanya special mission ya ku-wipe hawa watu.JWTZ wapo huko ila kivingine.Na kazi ni nzuri sana inafanyika.Sio lazima tutangazie Dunia.Tunalinda Mpaka wetu kwa Damu na Jasho.Msumbiji walikataa tusivuke mpaka,sasa wamba wanaenda kupiga show huko kama Raia tu.
nakubaliana na wewe hawa komando wetu wameshavuruga sana huko
 
Kuchinja wanavijiji ndiko unaita kusumbua, huu uwoga wenu utawacost sana, hao wa huko Amboni walikua watoto waliolewa mipombe na bangi, hawakua wamefikia hadhi ya mashababi bin shetwan ambao hujitoa mhanga, hivyo pambaneni na ugaidi acheni misifa ya kijinga bado hamjakumbana na shughuli yenyewe, bora kuizuia mapema.
 
Magaidi wanaogopwa zaidi ya JWTZ maana wanachinja vijijini kabisa.

Magaidi wanapaswa kupigwa kabla hawajateka Msumbiji, ukiingiza mkia kwenye miguu muda huu ndio watazidi kuota mapembe na kuhatarisha ukanda wote huu.

Wewe ni mpumbavu!

Sisi tumeharibu uchumi wetu kwaajili ya matumizi ya kijeshi kuleta rule of the majority kwa nchi karibia zote kusini mwa Afrika, mbwa!

Kabla ya kikundi cha wahuni kulikua na Portuguese army, tulideal nalo mpaka 1975 na baada ya hapo, South African apartheid pamoja na Ian Smith wa Rhodesia now Zimbabwe, waliunda Jeshi la Renamo.

Tulienda sawa na Renamo na kuishikilia Mozambique yote kiulinzi jama territory ya Tanzania, na Wanajeshi waliokufa kwenye vita hiyo Wanezikwa "Naliendele Cemetery".

Naliendele Cemetery - The Zimbabwean.co.zw
Naliendele-Heroes-Cemetery.jpg

Kwa sasa tupo bize na uchumi na hatuna muda wa mambo kama hayo, tulisha play part yetu kubwa mno kwa nchi hizo.

Waambie hao wendawaazimu, wafanye kama walivyofanya kwenye Mall Nairobi, or walivyo wachinja wanafunzi Garissa. Not so long ago, huko DRC kulikua na M23 backed by Uganda na hao Rwanda, walizimwa kama mshumaa.
 
Wapo watu wetu huko wanafanya special mission ya ku-wipe hawa watu.JWTZ wapo huko ila kivingine.Na kazi ni nzuri sana inafanyika.Sio lazima tutangazie Dunia.Tunalinda Mpaka wetu kwa Damu na Jasho.Msumbiji walikataa tusivuke mpaka,sasa wamba wanaenda kupiga show huko kama Raia tu.
Huyo kilaza kaanzisha hii mada kutuchimba tu,akukua na haja ya comment kama hii maana lengo la muanzisha mada kujua kiundani nini kinaendelea msumbiji
 
Ninyi hamumfahamu vizuri Kagame na Museveni.Wale hata iwe somalia ama afganistan watapeleka ili askari wawe buzy.Kinyume na hapo wakikaa idle watawapindua.Na wakati mwingine pesa za kuwalipa hawana.
Inawezekana hata US hua inawapeleka wanajeshi wake mission mbalimbali huko duniani maana wakikaa idle wanaweza kuipindua serikali na hawana pesa ya kuwalipa, hahaha.
 
Kuchinja wanavijiji ndiko unaita kusumbua, huu uwoga wenu utawacost sana, hao wa huko Amboni walikua watoto waliolewa mipombe na bangi, hawakua wamefikia hadhi ya mashababi bin shetwan ambao hujitoa mhanga, hivyo pambaneni na ugaidi acheni misifa ya kijinga bado hamjakumbana na shughuli yenyewe, bora kuizuia mapema.
Ww huwaga pumbavu flani hivi, Nashangaa wanaokazana kukujibu
 
Ninyi hamumfahamu vizuri Kagame na Museveni.Wale hata iwe somalia ama afganistan watapeleka ili askari wawe buzy.Kinyume na hapo wakikaa idle watawapindua.Na wakati mwingine pesa za kuwalipa hawana.

Kagame inapaswa apewe uongozi wa Afrika, jamaa yuko vizuri sana sio mwoga mwoga.
 
Ndio hivyo yaani, tunaposema muache kuingiza mikia kwenye miguu muanze mapambano maana tunajua hawa kunguni walivyo wakiachiwa watamalaki. Wanajiingiza kwenye jamii na kujimix, kuja kushtukia wanafanya yao.
Safi.. Upo vizurii
 
Inawezekana hata US hua inawapeleka wanajeshi wake mission mbalimbali huko duniani maana wakikaa idle wanaweza kuipindua serikali na hawana pesa ya kuwalipa, hahaha.

Hii kweli, haipaswi wanajeshi kuwa idle kazi yao tu kuonekana siku za maadhimisho wakipasua matofali.
 
Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga, Rwanda imeongoza kwa mbele kwa kupeleka wanajeshi moja kwa moja, naomba jeshi letu la Kenya liwahi pia, tuokoe Afrika....
============================================

Rwanda has sent the first contingent of 1,000 troops to help fight an Islamic State-linked insurgency in northern Mozambique's Cabo Delgado Province.

The deployment of the Rwanda Defence Force and the Rwanda National Police, under a bilateral agreement, follows a visit by Mozambican President Filipe Nyusi to Kigali in April this year.

“The Rwandan contingent will support efforts to restore Mozambican State authority by conducting combat and security operations, as well as stabilisation and security-sector reform,” a government statement released on Friday says.

Thousands have been killed and others displaced due to insecurity in the gas-rich region since 2017 after terror attacks linked to Islamic militants.

Rwandan troops will join forces with troops deployed under the Southern African Development Community (SADC), which agreed in June to send a contingent to combat terrorism and acts of violent extremism in the region.

“This deployment is based on the good bilateral relations between the Republic of Rwanda and the Republic of Mozambique, following the signing of several agreements between the two countries in 2018, and is grounded in Rwanda’s commitment to the Responsibility to Protect (R2P) doctrine and the 2015 Kigali Principles on the Protection of Civilians,” the government says.

The Cabo Delgado insurgency has displaced over 800,000 people and is threatening gas projects by multinationals in the region.

Mozambique’s neighbours fear that the terrorist attacks will spill over into their territories if not neutralised.

Mbona Tz, nao wameshapeleka?!!huna habari hiyo?!!
 
Hivi msumbiji wao hawana jeshi la kupambana na hao wazaramo wa kibiti
 
Mbona Tz, nao wameshapeleka?!!huna habari hiyo?!!

Hehehe!!! Kwa hivyo mlipeleka kwa kuficha ficha...haya bana ila hiyo poa pia badala ya wao kusubiriwa tu siku za maadhimisho ndio wanapasua matofali kuonyesha ubabe.
 
Ze mwanamgambo jeshi is real real fucked up chap. His story does not add up frankly.
 
"Rwandan troops will join forces with troops deployed under the Southern African Development Community (SADC)" ,

Unadhani kwa iyo kikosi jwtz watakosekana?
Rwanda wanataka kuingia sadc, so ni lazima ashobokee issues kama hizi
Mlishasema kwamba mnaogopa kuenda Msumbiji.
 
Sasa Tanzania tunaingiaje hapo man, we Foo nn, wacha kiherehere, y you Kenyans obsessed with Tanzania

Back
Top Bottom