Tena hadharaniKumlinganisha PK na huyu wa kwenu ni matusi ya nguoni.
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Ni kweli kabisa Africa bila madikteta haitaendelea kamweAfrika inahitaji "madikteta" wengi aina ya Kagame...
Tuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Dikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.Afrika inahitaji "madikteta" wengi aina ya Kagame...
Kinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa huzi nchi $5m ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wanatangaza sana kwenye media mimi ni meichi Kigali zaidi ya miaka miwili bado sana ukilinganisha na Dar.
Hoja yako nini haswa? Je ni udogo wa eneo ndio maana wanatukimbiza? Na kama no pato la taifa kwani ruanda Wana walipa Kodi wengi kushinda Tanzania?Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa huzi nchi $5m ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wanatangaza sana kwenye media mimi ni meichi Kigali zaidi ya miaka miwili bado sana ukilinganisha na Dar.
wanyarwanda si wajinga kama watanzania.kule hakuna chawa,hakuna wapuuzi wa kushadadia mambo ya hovyo.kagame mara chache sana kumwona anasafiri mje ya nchi yake.yuko busy kujenga uchumi wa nchi yake kwa kutumia rasilimali chache alizonazo.kwa wale waliowahi kwenda rwanda ukifika tu boda ya rwanda utajua kweli huyu mtu yuko makini.mji msafi,barabara safi,mazingira yote ni safi.nchi ni kijani kitupu.tanzania nchi kubwa,watu wa hovyo wamekalia kushabikia vitu vya hovyo,elimu,afya hovyo,mpk sasa watu wanakunywa maji ya tope utadhani nchi haina rasilimali maji.kagame alipaswa kuiongoza tanzania ndo maana aliwahi kusema angepewa kuiongoza tz nchi ingekuwa mbali sana kwa rasilimali tulizonazo.kwa bahati mbaya sana nchi hii wamejaa wajinga wengi ambao kila siku wanawaza ujinga uliomo vichwani mwao.Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Ni kweli hata Libya kulikua na dikteta kama msemavyo ndio maana Ile nchi ilikua maskiniDikteta na maendeleo ya watu wapi na wapi.
Mbona tumekuwa na madikteta wengi hata kabla ya Kagame
Nchi haina commitment kwa nini ujisumbue....fanya mambo yako...kila mtu ashinde mechi zake....Hatuna majasusi wa uchumi.Hatuna dira ya kitaifa kwenye mambo yenye tija.Hongera sana kwao.Tutafika tukitumia wataalamu ila siyo wanasiasa.
Nchi yetu inaongozwa kike kike na machawa hata wanaume wamegeuka wake wake hivi!Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Libya sio waafrikaNi kweli hata Libya kulikua na dikteta kama msemavyo ndio maana Ile nchi ilikua maskini