Rwanda inafanya makubwa

Rwanda inafanya makubwa

MchunguZI

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2008
Posts
4,011
Reaction score
2,185
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.

TLNG9474[1].JPG
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Tuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.
 
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa huzi nchi $5m ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wanatangaza sana kwenye media mimi ni meichi Kigali zaidi ya miaka miwili bado sana ukilinganisha na Dar.
Kinachozungumziwa ni mipangilio ya uchumi siyo kipato kikubwa au population kubwa na ndogo. Wewe unaona ni sawa raisi kuzunguka duniani kutafuta marafiki? Yeye anawaita ni wawekezaji! What a hell leader do we have! Wawekezaji ni wafanyabiashara, kweli wanahitaji kualikwa ili wafahamu wapi watatengeneza faida?

Kubali tu kwamba tuna kiongozi with plan of no real!
 
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa huzi nchi $5m ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wanatangaza sana kwenye media mimi ni meichi Kigali zaidi ya miaka miwili bado sana ukilinganisha na Dar.
Hoja yako nini haswa? Je ni udogo wa eneo ndio maana wanatukimbiza? Na kama no pato la taifa kwani ruanda Wana walipa Kodi wengi kushinda Tanzania?
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
wanyarwanda si wajinga kama watanzania.kule hakuna chawa,hakuna wapuuzi wa kushadadia mambo ya hovyo.kagame mara chache sana kumwona anasafiri mje ya nchi yake.yuko busy kujenga uchumi wa nchi yake kwa kutumia rasilimali chache alizonazo.kwa wale waliowahi kwenda rwanda ukifika tu boda ya rwanda utajua kweli huyu mtu yuko makini.mji msafi,barabara safi,mazingira yote ni safi.nchi ni kijani kitupu.tanzania nchi kubwa,watu wa hovyo wamekalia kushabikia vitu vya hovyo,elimu,afya hovyo,mpk sasa watu wanakunywa maji ya tope utadhani nchi haina rasilimali maji.kagame alipaswa kuiongoza tanzania ndo maana aliwahi kusema angepewa kuiongoza tz nchi ingekuwa mbali sana kwa rasilimali tulizonazo.kwa bahati mbaya sana nchi hii wamejaa wajinga wengi ambao kila siku wanawaza ujinga uliomo vichwani mwao.
 
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitega uchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Nchi yetu inaongozwa kike kike na machawa hata wanaume wamegeuka wake wake hivi!
 
Back
Top Bottom