Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.
Hesabu zako sio sahihi, wewe mchumi wa wapi. Tanzania ilipaswa kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote za central na east Africa due to geographical location. Tuna bandari tuna madini lakini hatuna viongozi makini.