Maelezo ya nyuzi inajumuisha vyote ulivyoulizia.Ulisoma thrd inasema nini? INasema Tz na Rwanda au Kagame na Samia?
Na ndiyo maana ameandika kichwa cha habari Rwanda yafanya makubwa sio Kagame afanya makubwa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo ya nyuzi inajumuisha vyote ulivyoulizia.Ulisoma thrd inasema nini? INasema Tz na Rwanda au Kagame na Samia?
Yaan kwa jinsi watu wanavyo isifia Rwanda.. nahisi wengi wao wameishia hapo Kigali hawaja izunguka hiyo nchi wange weza kulia sana kwa huruma. wana sahau kigali ni kamji kakuu hivyi kanapendezeshwa kwa kuwa ni kadogo sana waende country side waje hapa kama hawakumtema mate kagameI wish watanzania wengi mngetembelea Nchi ya Rwanda japo kwa siku moja, .......aka ni ka nchi masikini, raia wake wana tabika sana sema tu wana tawaliwa kimabavu, kukuta familia yenye uwezo wa kula milo mitatu ni bahati sana, wengi hawana ajira maduka hayana bidhaa, toka nje ya ya Kigali tu utakuja kugundua ndo utaona sisi Tzania tuna chezea fursa, hawana aridhi ya kilimo, familia zima ya watu sita kijijini ina tegemea ngombe moja tu wa kisasa........umasikini wao hauna mfano hapa Tz.
Sijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.
Na hapo ndipo utaahira ulipo.Hapana mkuu tupo busy kumkomoa Hayati
Ila sio jiweAfrika inahitaji "madikteta" wengi aina ya Kagame...
Umewajibu vyema suk gang hao wanalinganisha nchi ya Tz na mkoa wa RwandaSijui watu wengine hamuelewi uchumi wa hizi nchi? $5m investment ni nini kwa Tz ? Huwezi ukalinganisha nchi ya GDP $ 61bn na nchi ya GDP $12bn, nchi yenye uchumi wa watu 65m na nchi yenye watu 11m.......nchi yenye ukubwa wa aridhi mara 12 na nchi ya Rwanda. ...... uchumi wa Rwanda bado sana japo wana tangaza sana kwenye media mimi ni meishi Kigali zaidi ya miaka miwili lakini bado sana ukilinganisha na Dar. Mjidanganye nyie msie tembea katika nchi hizi.
Hamieni RwandaNi kweli kabisa Africa bila madikteta haitaendelea kamwe
Uganda ilikuwa ya nduli dikitetaNi kweli hata Libya kulikua na dikteta kama msemavyo ndio maana Ile nchi ilikua maskini
Hamia Burundi bossNchi yetu inaongozwa kike kike na machawa hata wanaume wamegeuka wake wake hivi!
Kalinde kaburi nduguTanzania wako Busy kupigana na Kaburi!
Tanzania wako busy kumkomoa JPM!
Kuna akili na elimu Rwanda wameamua kutumia akili zao kupambania fursa....Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Title ibadilike iitwe '' KIGALI INAFANYA MAKUBWA''. Kumbuka Kigali kieneo ni 8% ya eneo lote la Rwanda lakini cha kushangaza miundombinu ukisikia inafanyika basi 97 ni kigali. 92% ya Rwanda haisikiki na ipo gizani.Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Sema uelewa wako uko chini kuelewa mambo.Tuna mkosi wa ajabu sana kama nchi! Uelewa wa rais wetu uko chini na hakuna anayesema hilo, badala yake anapongezwa na akina Msigwa utadhani ndo ajira yao.
Wale munaosema anafungua nchi, lengo ni nini? Jirani ni Rwanda na Kagame, mtu siriasi, hana safari za hovyohovyo na vitegauchumi vinamfuata. Dunia hii vitega uchumi havialikwi kama mkutano wa CCM. Vitega uchuni hufuata uongozi siriasi. Leo hii hata Ethiopia iko juu yetu, sisi tuko bize kushangilia mtu anayesafiri kama rubani.
View attachment 2554769
Ukweli mchunguAfrica haipigi hatua kwa sababu zifuatazo
1.Tunaogopa kuwekeza wenyewe badala yake tunasubuli wanaoitwa wawekezaji kwenye rasilimali muhimu kama madini.Lazima tujifunze kuwekeza wenyewe hata kwa kuanza kidogo kidogo.
2.Watanzania tunaenda sana uchuuzi wa bidhaa toka nje na tunaogopa export.Sababu tunapenda urahisi zaidi.
3.Tunakundi dogo mno ambalo ni skilled.Unapoona biashara za kumwaga barabarani/ machingas Kila Kona ya nchi ni uhalisia wa kukosekana kwa skills.
4.Elimu Bado haijafika kwenye baadhi ya maeneo.
5.Wafanyakazi wa sekta ya Umma ni wavivu,wanapenda kufanikiwa kirahisi rahisi.Madhara yake wanapenda rushwa na kupiga TU story maofisini.
5.TRA na Polisi kikwazo kikubwa mno mno mno Cha maendeleo ya nchi hii.
rwanda wamejaa mapunga!! nusu ya population ni machoko