Rwanda inafanya makubwa


Hesabu zako sio sahihi, wewe mchumi wa wapi. Tanzania ilipaswa kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote za central na east Africa due to geographical location. Tuna bandari tuna madini lakini hatuna viongozi makini.
 
NAHISI UNA USHUZI KICHWANI
UNAPOIFANANISHA SWEDEN NA TANZANIA UNAKOSEA SANA
SWEDEN INA POTENTIALS NYINGI SANA ZA KUENDELEA KIUCHUMI KULIKO TZ.
PIA SWEDEN MAENDELEO YAKE YANAONEKANA.
HIYO RWANDA UNAYOISIFIA MPAKA SASA HAWANA MAENDELEO BORA YA KIJAMII KULIKO TZ.
HIYO RWANDA IMEZIDIWA NA TANZANIA KATIKA SEKTA ZOTE.
HIYO RWANDA WANUFAIKA NI KIGALI NA RAIA WENYE KABILA LA RAIS.
EMBU TUJE KATIKA SOCIAL DEVELOPMENT KUAZIA HOSPITALS,PUBLIC TRANSPORTS,INFRASTRUCTURES,SCHOOLS,LARGER UNIVERSITIES N.K.
NA KWENYE ECONOMIC DEVELOPMENTS VIWANDA,MAKAMPUNI MAKUBWA,MILLIONAIRES AND BILLIONAIRES INTERMS OF DOLLARS N.K.
NITAJIE WAPI RWANDA ANATUZIDI???
YANI WEWE HATA CIVICS UNAONEKANA HUJAISOMA POOR YOU.
KAMA KENYA HAIFUI DAFU KWA TANZANIA ITAWEZA RWANDA???
EMBU KUWA NA AKILI
 
Hesabu zako sio sahihi, wewe mchumi wa wapi. Tanzania ilipaswa kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote za central na east Africa due to geographical location. Tuna bandari tuna madini lakini hatuna viongozi makini.
Mwenzako ndio yupo sahihi.
Nchi hupimwa uchumi wake kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Rwanda ametuzidi wapi hapo??
Usihame mada ulinganisho ni Tanzania na Rwanda.
 
Kwan umeambiwa maendeleo ni maghorofa meng??..tunaangalia ubora wa social services,.
NDIO WEWE SEMA NI SOCIAL SERVICES ZIPI RWANDA ANATUZIDI???
HAPA EAST AND CENTRAL AFRICA NI TANZANIA PEKEE ILIYOJITOSHELEZA KATIKA HUDUMA ZA KIJAMII.
KAMA UNABISHA TUANZE KUCHAMBUA KUANZIA HUDUMA YA AFYA,MAJI,ELIMU,UMEME NA MENGINEYO.
 
Ukubwa wa eneo haujalishi katika maendeleo ya kiuchumi.
Ila Rwanda haina sehem imeizidi Tanzania pia Rwanda iko nyuma sana katika mambo ya kiuchumi ndio maana inapiga hatua kwa haraka ila mambo mengi katika nyanja ya kiuchumi TZ ipo katika climax.
Waulize wanauchumi kwanini USA ni world greatest economy lakini growth rate yake kwasasa ni 4% kwenda chini???
Je mataifa yanayopiga hatua kwa kasi ya 6% makubwa kuliko USA ukiitoa China????
 
Mael Maelezo yako siyo ya kiuchumi umezungumza kishabiki tu, ubelgiji ni nchi ndogo kieneo na kwa idadi ya watu lakini Ina uchumi wa kiasi gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…