Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Wewe ni kichaaKila nchi in mfumo wa kuvutia wawekezaji Tz ni nchi inao tafuta wewekezaji wa capital goods au bulky investment yenye $bns sio $5m, hizo hata local investors wanaweza kuwekeza, ila kupata investor mkubwa mpaka umfuata uko uko, huyu wakujileta ni investor wa kawaida.
Sweden ina wananchi milion 10 Ila inaipa msaada na mikopo Tanzania
Sweden ina kilomita za mraba laki 4 Ila Tanzania inaipigia magoti kwenye kupewa misaada.
Sweden ina GDP nzur kuliko tanzania unayojivunia ukubwa wake
Sweden ina maisha mazuri kuishi kuliko Tanzania.
Jitu Pumbavu kama wewe ndio mnafanya hili taifa lisiendelee.
Umenikera sana