Rwanda inafanya makubwa

Wewe ni kichaa

Sweden ina wananchi milion 10 Ila inaipa msaada na mikopo Tanzania


Sweden ina kilomita za mraba laki 4 Ila Tanzania inaipigia magoti kwenye kupewa misaada.


Sweden ina GDP nzur kuliko tanzania unayojivunia ukubwa wake


Sweden ina maisha mazuri kuishi kuliko Tanzania.


Jitu Pumbavu kama wewe ndio mnafanya hili taifa lisiendelee.

Umenikera sana
 
Ndio makubwa hayo kweli? Labda Kwa size ya Rwanda
 
Akipewa mkopo anajivunia safari zake eti ndiyo sababu. Huyu mtu anastahili kukosolewa ili awe anajiuliza kabla ya maamuzi. Tatizo kuna watu wa karibu wanampa sifa, anajisahau na kuamini yeye ni thinker, kumbe ni kiwango duni anayehitaji kusaidiwa.
Haahaa, hiyo term 'Viwango duni' a.k.a viduu ilivuma sana CoET miaka fulani
 
Alafu ukute ndio waziri tunaemtegelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuifananisha Rwanda na TANZANIA ni dalili ya MTU kukosa maarifa.
Rwanda iko Nyuma Kwa mambo mengi.

Miaka ya 2018 -2019 nilikuwa huko.
kwanini tisiifananishe??
kuwepo huko sio kigezo çha sisi kutoifananisha,labda ufafanue vizuri

by the way tunafananisha hapa sio nchi kwa nchi bali ni uongozi wa nchi na nchi,
 uongozi wa Rwanda upo strong na una unajua kutengeneza fursa mbalimbali japo wana rasilimali chache ukilinganisha na sisi Tz,
Kagame na nchi yake wanafaidika na huo uchache wa rasilimali tofauti na sisi ambao tuna kila aina ya rasilimali

Rwanda hata kwenye ukuaji wa kiuchumi wapo kasi sana kutuzidi sisi hivyo lazima tujilinganishe nao tu
 
Hawana kitu hao, sema nguvu kubwa iwekezwe katika mikoa ya Geita na Shinyanga kuangalia hawa watu ikiwa wamewekeza kihalali
 
Lete facts usilete hisia, ukisema uchumi wao unakua kwa kasi, tuambie kwa kiasi gani.
 
Vipi kuhusiana na GDP ya Rwanda na Tz ?
 
Wewe utakua na utindio wa ubongo sasa Morocco na Tanzania wapi na wapi? moja iko sub-saharan Africa nyingine chini ya sub-saharan Africa, moja iko agro-based nyingine industrial-based......
 
Wewe utakua na utindio wa ubongo sasa Morocco na Tanzania wapi na wapi? moja iko sub-saharan Africa nyingine chini ya sub-saharan Africa, moja iko agro-based nyingine industrial-based......
Shwain wewe unaruka ruka kama maharage.

Point zako za wingi WA watu na ukubwa WA eneo kiniografia unaanza kuzikimbia kahaba wewe
 
Shwain wewe unaruka ruka kama maharage.

Point zako za wingi WA watu na ukubwa WA eneo kiniografia unaanza kuzikimbia kahaba wewe
Wewe leta nchi ziliopo sehemu moja na zina fanana ki jiogorafia sio kutafuta nchi ndo uliganishe na Tz, sijui ulisoma mpaka kiasi gani.......linganisha vitu vinavyo kua in same bracket
 
Wewe leta nchi ziliopo sehemu moja na zina fanana ki jiogorafia sio kutafuta nchi ndo uliganishe na Tz, sijui ulisoma mpaka kiasi gani.......linganisha vitu vinavyo kua in same bracket
Ndio maana nakwambia wewe huna akili hizo hoja zako ni upuuzi tu.

Congo Wana eneo kubwa Sana kuliko Tanzania mbona uchumi wao ni hovyo. Hoja yako ya nchinkuwa Bora kuwa ni size ya eneo lake inaonesha ulivyo kichaa!!!
 
Wapumbavu kama wewe wako wengi sana, watu wanaisifu Rwanda [emoji1206] kutokana na uwezo wake wakitumia rasilimali ndogo kujiletea maendeleo, hawana k'njaro, serengeti, ngorongoro wala bahari ila wanauwezo wa kuvutia mikutano mikubwa duniani, ardhi yao ni ndogo na idadi ya watu pia ila wanaitumia ipasavyo kuvutia wawekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…