jay-millions
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 3,983
- 10,034
Iron dome mchezo? Pesa yake ndefu sana, hata SA hawana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwadharau aisee...Rwanda wanapenda propaganda na kujivimbisha. Ni kanchi kenye jeshi ambalo hata kuipiga Uganda haliwezi ila kelele nyingi.
Airforce ya Uganda imejipanga, wanaweza wakatushika hata sisi sharubu na tukawa wapole.Pale wauza ubuyu wanavyogeuka wataalamu wa mambo ya usalama ghafla baada ya kushabikia nchi mojawapo vitani.
Iron Dome ni mfumo wa Israel na hauuzwi, especially kuuzwa kwa nchi hoehae kama Rwanda. Rwanda haina anti missile system, wala DRC haijarusha missiles bali shells. Kwahiyo hakuna interception yoyote imefanywa na Rwanda.
Rwanda wanapenda propaganda na kujivimbisha. Ni kanchi kenye jeshi ambalo hata kuipiga Uganda haliwezi ila kelele nyingi.
Wewe unafikiri moja ya kazi ya MI ndani ya jeshi (JWTZ) ni nini?Wavunja tofari cjui kama wanao mfumo huu.
KAZI ni kipimo cha UTU
Tanzania ina ndege nyingi za kisasa ila hazitangazwi.Airforce ya Uganda imejipanga, wanaweza wakatushika hata sisi sharubu na tukawa wapole.
Wanamiliki several Sukhoi 30mk ambazo ni heavy fighters
Hawana uwezo wa ku operate iron dome au kitu kinachofanana kwa karibu na hichoBombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."
The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.
Tanzania hatuna ndege nyingi, wala haina ndege za kisasa. Hata 3rd generation tu hatuna.Tanzania ina ndege nyingi za kisasa ila hazitangazwi.
Kingine unachopaswa kujua Tz ina mifumo mingi sana ya ADS. Anga lake siyo jepesi kama unavyofikiria.
Wanazo chache, last time i checked zilikuwa 6. Nadhani walikosa hela ya kuongeza order kubwa kufanya squadrons kadhaa.Airforce ya Uganda imejipanga, wanaweza wakatushika hata sisi sharubu na tukawa wapole.
Wanamiliki several Sukhoi 30mk ambazo ni heavy fighters
Hizi Sukhoi hata Congo zipo lakini ona wanavyohenyeshwa na Wahuni wa M23Airforce ya Uganda imejipanga, wanaweza wakatushika hata sisi sharubu na tukawa wapole.
Wanamiliki several Sukhoi 30mk ambazo ni heavy fighters
Hakuna kitu kama hicho!Usiwadharau aisee...
Umeona wanavyoitesa Drc na vikosi vya Monusco.
Sukhoi unapeleka goma wakati pk kaweka batteries gisenyiHizi Sukhoi hata Congo zipo lakini ona wanavyohenyeshwa na Wahuni wa M23
DRC hata vijana under 18 wanaitesa, MONUSCO inalinda amani haipigani.Usiwadharau aisee...
Umeona wanavyoitesa Drc na vikosi vya Monusco.
Vitu vidogo hivyo..tz we are way far now.Tanzania sijui kama ina mfumo huo
Wanao ila si iron dome,ni matoleo ya zamani sanaTanzania sijui kama ina mfumo huo
Wako busy kununua ma-V8.Tanzania sijui kama ina mfumo huo