Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

Sasa Rwanda sisi watatufanya nini?

Mnapigana na kubwa jinga Congo ambayo dhaifu tangu enzi za Che Guevara ambaye madhaifu aliyoyatoa kuhusu Congo ndiyo bado yapo mpaka leo.

Rwanda si inapigana na kubwa jinga hapo? Rwanda ni wa kawaida sana! Hawana lolote special na ni watu wa propaganda.

Jana wametapakaza kuonyesha ADS kufanya ni za kwao kwenye mitandano kumbe wame screenshot za Morroco huko!
Mkuu uwe unajisemea wewe kama wewe hapa humuwakilishi mtu
 
Comparison ya Wanajeshi wa Rwanda na Tanzania

Wanajeshi wa Rwanda:

1. Idadi ya Jeshi: 45,000 wanajeshi wa kudumu, na 30,000 wa akiba.
2. Shughuli za Jeshi: Jeshi, Jeshi la Anga, Jeshi Maalum, Polisi wa Jeshi, na Akiba.
3. Mafunzo: Mafunzo makali, hasa katika ulinzi wa amani na vita dhidi ya magaidi. Wanajeshi wa Rwanda ni hodari katika mbinu za kisasa za kivita.
4. Ushiriki katika Ulinzi wa Amani: Wanajeshi wa Rwanda wanahusika sana katika DRC na Jamhuri ya Afrika ya Kati.
5. Vifaa vya Kivita: Vifaa vya kisasa ikiwa ni pamoja na silaha za China kama Yitian SAMs, magari ya kivita kutoka Ufaransa, na helikopta za Ufaransa.
6. Jeshi Maalum: Jeshi la Maalum la Rwanda linajulikana kwa vita dhidi ya magaidi, kufanya operesheni za siri, na kuhamasisha harakati za kijamii.
7. Mikakati ya Kikanda: Rwanda ina madhumuni ya kijeshi ya kuimarisha usalama wa kanda, hasa katika DRC na Mikoa ya Maziwa Makuu.
8. Vita vya Karibuni: Imeshiriki katika vita vya DRC, na operesheni dhidi ya M23. Inajulikana kwa operesheni zake za haraka na ufanisi.
9. Muungano wa Kimataifa: Inashirikiana na Ufaransa, China, na African Union katika masuala ya usalama na ulinzi wa amani.
10. Bajeti ya Jeshi: Bajeti ya $105 milioni (2021), ikijikita katika uimarishaji wa uwezo wa kijeshi na operesheni za ulinzi wa amani.
11. Madhumuni ya Umma na Nia ya Jeshi: Jeshi la Rwanda linatambulika kama jeshi lenye ufanisi, linalojulikana kwa mbinu za kisasa za kivita na operesheni za usalama katika kanda.

Wanajeshi wa Tanzania:

1. Idadi ya Jeshi: 27,000 wanajeshi wa kudumu, na 65,000 wa akiba.
2. Shughuli za Jeshi: Jeshi, Jeshi la Anga, Jeshi la Majini, na Wanajeshi wa Akiba.
3. Mafunzo: Mafunzo ya msingi, hasa katika ulinzi wa mipaka na vita vya msituni. Wana uzoefu mdogo wa vita vya karibu na matumizi ya mbinu za kisasa.
4. Ushiriki katika Ulinzi wa Amani: Wanajeshi wa Tanzania wanashiriki katika Darfur, Somalia, na Zanzibar kama sehemu ya AMISOM.
5. Vifaa vya Kivita: Vifaa vya kivita vya zamani vikiwemo SAM za Soviet na Shenyang F-7 (China), pamoja na silaha za mizinga ya Russia.
6. Jeshi Maalum: Jeshi la Maalum la Tanzania linatumiwa katika ulinzi wa ndani na vita vya msituni, lakini lina uzoefu mdogo katika operesheni za kisasa.
7. Mikakati ya Kikanda: Tanzania ina mikakati ya kujilinda na ina athari kubwa katika usalama wa kanda hasa kwenye EAC na AMISOM.
8. Vita vya Karibuni: Tanzania imeshiriki katika operesheni za amani katika Darfur, Somalia, na Zanzibar.
9. Muungano wa Kimataifa: Inashirikiana na China na African Union katika masuala ya amani na usalama.
10. Bajeti ya Jeshi: Bajeti ya $560 milioni (2021), inazingatia ulinzi wa mipaka na usalama wa ndani.
11. Madhumuni ya Umma na Nia ya Jeshi: Jeshi la Tanzania linatambulika kwa ulinzi wa ndani na mikataba ya amani katika kanda, ingawa lina uzoefu mdogo wa operesheni za kivita.

Muhtasari:

  • Wanajeshi wa Rwanda ni wajanja katika mbinu za kisasa za kivita, haswa kutokana na uzoefu wao mkubwa katika vita dhidi ya magaidi, ulinzi wa amani, na operesheni za siri. Vifaa vyao ni vya kisasa, wakiwemo silaha za China na helikopta za Ufaransa.
  • Wanajeshi wa Tanzania, ingawa wanajulikana kwa ulinzi wa ndani na vita vya msituni, wanatofautiana na Rwanda kwa kuwa hawana uzoefu mkubwa katika vita vya karibu na mbinu za kisasa. Vifaa vyao vikiwemo SAM za Soviet na Shenyang F-7, ni vya zamani zaidi.

Kwa ujumla, wanajeshi wa Rwanda wana uwezo bora wa kijeshi na uzoefu mkubwa katika vita vya kisasa, wakati wanajeshi wa Tanzania wanajulikana kwa ulinzi wa mipaka na mikataba ya amani.
Kwamba Tanzania imeshiriki kulinda amani Zanzibar kama sehemu ya AMISOM?.
Wewe ni mpuuzi Upuuzwe.
 
Rwanda ni social media military force wanapenda sana matangazo wanataka wajue Tanzania hapana hutaijua , nyie mliozea kuijtangaza kwenye media ni jeshi la media hilo
 
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."

==================================

The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.

Mkuu acha kamba
 
Kwa hiyo kwa akili yako idadi ya jeshi la Tanzania ni 27,000...??

Muelewe kwamba: Ielewe Tanzania ina mfumo wa namna gani kwenye masuala ya kiusalama hususani ya kijeshi. Tanzania mambo ya kijeshi ni ya siri kwa sababu ya kiusalama wa Taifa. Tanzania ndiyo imechagua hivyo! Huwezi kupata habari zozote za maana kuhusu Jwtz kwenye mitandao yoyote hata kwenye tovuti za kijeshi (Jwtz).

Bajeti tu haijadiliwi bungeni, wewe umeitolea wapi? Na CAG huko haruhusiwi kuingia. Wewe umezitolea wapi?
Vipi kuhusu ufisadi
 
Rwanda ni waoga sana wanatumia mitandao ya kijamii kijitisha wenyewe mara uwakute Insta wanajitangaza RDF mara Wapi sijui wapi weledi huwezi fanya hivyo huo wote woga na kutaka kuwaaminisha watu uongo wao
 
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."

==================================

The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.

Hovyooo kawadanganye wasiojua watakuelewa
 
Rwanda hawana iron Dome systems labda wanamifumo ya kawaida.
 
Bombe zinazotupwa na DRC kuelekea Rwanda, kwenye Gisenyi, karibu na mpaka wa Congo, Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome, kuharibu mabomu hayo angani kabla hayajafika ardhini na kugonga lengo."

==================================

The bombs being thrown by DRC towards Rwanda, in Gisenyi, close to the Congo border, are being destroyed by Rwanda's air defense system, Iron Dome, in the sky before they land and hit the target.

Sio kweli kuwa na mitambo hiyo
 
Yeah, Uganda wanazo chache, ila wakiwa na pilot wazuri sisi wenye J7 za kichina sioni tukitoboa kwenye dog fights hata wakiamua kufanya ground attack pia.

Sidhani kama tutafika huko kwenye j17 anytime soon. Pale ngerengere naona zimepark j7 za mchina tu.. i doubt if we do we have anyother variant?
Chengdu
 
Back
Top Bottom