Rwanda inatumia mfumo wake wa ulinzi wa angani, Iron Dome

Mbona hao jamaa hawajakaa kijeshi, Ni kama vile masela wa mtaani.

Hicho kidude sio Antenna kweli?

Hiyo video ni Real lakini sio rwanda hapo, hizo sound wameingizia tu.

Vitu vya msingi vya kijeshi haviwezi kuchezewa na Matozi wa mtaani.
Hata mimi nimecheki ila sijaona maaskari wala silaha hapo.
Halafu mabomu ya kutoka nchi moja kwenda nyingine utarusha kwa mkono kweli kama unavyorusha jiwe kumpiga kunguru,hii hainiingii akilini
 


Mimi najua kwa ukanda wa Africa mshariki na kati jwtz ni jeshi bora kulinganisha na majeshi ya majirani in term ya nidhamu lakin ukiongelea vifaa yawezekana hatupo vizuri.

vita huamuliwa na morali ya mpiganaji na mbinu nasikia during 1978 Uganda army was using more advanced fighter jet Mig 23 meanwhile jwtz was using mig 21 lakin matokeo hayakuwa mazuri kwa uganda. My point is unaweza ukawa na wanafunzi wawili mmoja wa shule ya kata na mwingne anasoma best equiped school Kama fedha lakin maajabu huwa inatokea mwanafunzi wa kata aka score vizuri kuzid huyu mwingine it depend on how determined you are to win a battle.

Ukirudi katika mada sidhani Kama rwanda wan iron dome defensive system koz ni system ambayo siyo popular bado ni mpya I believe it's classified siyo kila mtu anaweza Ku I access

Joke: mungu wa vita huwa ana na na ya kuwasilisha haki kiuelewa tu Kagame na Rwanda yake anaweza tu kupambana na Burundi pekee kwa east Africa the rest wata mdunda Hana opponent wa kumshinda
 
Unajua kuna shida ya hata kufikiri tu propaganda na vita havitengani mind that it is a matter of security hakuna anaweza ku judge war outcome by looking at statistics you only can predict but is just prediction
 
Tulia wewe, supa pawa mpya isti afrika kazaliwa, mtoto mdogo kaanza kucheza mechi za ligi kuu
Wewee nanga tulia Rwanda wanapenda kujianikia sana hawana lolote wana SAM ( Surfcae to AIr Missile outdated na MIM23 mifumo dhaifu mno katika nyanja za jinsi ya kuzuia shambulio kwa wakati na umekosa updated modern technology dhaifu mno wamepitwa hata na Uganda
 
Anza mwenyewe kujibeba mapema kama umetumwa basi sawa nadhani ungeishia ulipofikia tu basi
 
Halafu nimegundua kuna watu wanatumwa kuchokonoa hoja labda tungeachana hayo mambo mabaya sana wajameni vIbaya dunia duara, milima haikutani , shimo la koboko sio zuri, ngedere halali shimoni amina tubarikiwe kwa raha zetu
 
Nilichogundua tangu kifo cha mwendazake mzee wetu mpendwa habari za kupromote Rwanda zimekua zikiletwa sana humu hasa na watu kama sita (6) hivi humu sijui kuna nn labda hao watu sita (6) wajitafakari labda kwanza wana nn hasa hasa kwann labda kwannn vipindi hivi twendeni shambani tunafuga kuku wa mayai nyie kazi yenu hiyo hiyo
 
Wewe unafikiri moja ya kazi ya MI ndani ya jeshi (JWTZ) ni nini kazi ya MI ndani
Watu wachache sana ndo wanajua nini kazi ya MI...huwezi wasikia au kuwaona hovyo kama suti nyeusi....
 
Kwa takwimu hizi mkuu, unamaanisha wanajeshi wote JWTZ wakiingia uwanja wa mkapa hawaujazi hata nusu?
 
Kitu wengi hawakijui Rwanda taifa dhaifu sana kama hawapati usingizi kwa kuwaogopa Wanamgambo wa Kiburi FDLR wanaotaka kuingia Kigali na kuing'oa Serikali ya Kandamizi ya Kigaidi ya Kagame
 
Jeshi la Tanzania liko mpakani mwa Rwanda na DRC, wakikaguliwa na polisi wa kawaida kabla ya kurejea nyumbani Tanzania. Hii ilitokea baada ya M23 kuteka jiji lote la Goma, na wakaacha silaha zao zote mikononi mwa M23.
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • IMG_2127.png
    1.6 MB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…