Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

Hata hapo Tanzania wewe uko wapi? Ulaya Nguruwe hana thamani, ni nyama yenye bei ya chini kuliko zote upo Malawi nini??? Umaskini tu ndio unamfanya mbongo afiklie kuwa nguluwe ni mtamu.
Nguluwe = Nguruwe. Shenzi wewe
 
🤣🤣
 
shule ndogo ndio shida mimi nimeshuhudia dakitari wa mifugo wasilamu wengi tuh wana kagua nyama za nguruwe wanawakata meno, kuhasi na kuwatibu bila shida yoyote wala hawamchukii nguruwe tena wanafuga na nguruwe kabisa lakini sijda ziko usoni
Jaribu kuelewa nguruwe amekatazwa kuliwa tu! Ila ana haki zake km wanyama wengine.
 
Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.

Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
Tusipowala watapunguaje acha ecosystem ifanye kazi yake. Leo jioni nagonga nusu na ndizi mbili tusiburuzane kwenda peponi ukienda wewe inatosha!
 
Ndio maana nkakuambia Mungu alitakasa kila mnyama achana na Agano la kale nimekupa mistari sasa hapo nini huelewi
 
Nkundwe Sr sitaki ukorofiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji112][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Teh teh Doctor mzima muoga unaogopa kisomo nini? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Tusipowala watapunguaje acha ecosystem ifanye kazi yake. Leo jioni nagonga nusu na ndizi mbili tusiburuzane kwenda peponi ukienda wewe inatosha!
Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.

Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
. Sikushangai, wewe hata nyama ya mtu utakula tu.
 
Safi...
 
Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.

Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
. Sikushangai, wewe hata nyama ya mtu utakula tu.
Nguruwe analiwa na wayahudi?
 
Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.

Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
. Sikushangai, wewe hata nyama ya mtu utakula tu.
Ya mtu sili. Msimamo wangu anayetaka kula ale asimlazimishe asiyetaka. Hivyo hivyo asiyetaka asimbughuzi anayetaka. Case closed. Kutwa kutusimanga kwani nakula kwenye tumbo la mtu.
 
Big up Rwanda, mmefanya jambo la maana sana. Mungu azidi kuwabariki kulisha Watoto wenu chakula kilicho bora.
 
Ya mtu sili. Msimamo wangu anayetaka kula ale asimlazimishe asiyetaka. Hivyo hivyo asiyetaka asimbughuzi anayetaka. Case closed. Kutwa kutusimanga kwani nakula kwenye tumbo la mtu.
Haswaa, sasa kuwapikia wanafunzi wote nguruwe siyo kuwalazimisha kula nguruwe?

Tunaongelea watoto wadogo, wanafunzi wakubwa sijali, wana maamuzi yao.

Kama ilivyo wewe, mtu mzima, tutakushauri tu mwisho wa siku hiyari ni yako, kusuka au kunyowa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…