Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

Kitimoto hana shida!
Kama hutumii nyama yake acha wanaotumia wafurahie.....kama unatumia acha kuwasumbua ambao hawatumii kila mtu aishi life lake!

Mimi binafsi ni mtumiaji mzur tangu utoto wangu mpaka leo na haijawahi nidhuru
Naunga mkono hoja.
LIVE AND LET LIVE.
 
Mbona mmekua kama machizi mna wehuka tuh na kila habar inayopingana na uislam [emoji74].kula wale Rwanda Tanzania mshangilie
 
View attachment 2639065

Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema.

"Tunaziomba shule kuanzisha miradi ya ufugaji wa nguruwe ili kuweza kumudu nyama ya nguruwe," alisema.

Mnamo mwaka wa 2019, mpango wa lishe shuleni ulitekelezwa katika shule za sekondari (zinazosaidiwa na serikali na za serikali) huku wanafunzi 680,000 wakipokea ruzuku ya Serikali ya chakula cha shule.

Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa shule za msingi na sekondari ziliongezeka kutoka 2,877 mwaka 2017 hadi 2,963.

Mnamo 2021, Rwanda ilizalisha tani 185,989 za nyama. Idadi ya nguruwe imeongezeka kutoka 989,000 mnamo 2012 hadi takriban milioni 1.5 mnamo 2021.

Nchi hiyo iilizalisha wastani wa tani 23,000 za nyama ya nguruwe kwa katika mwaka 2019 na inalenga kuongeza uzalishaji wa nyama hiyo hadi kufikia tani 68,000 ifikapo 2024.

“Tunashughulikia mpango wa kutumia vyanzo mbadala vya protini kulisha mifugo badala ya mahindi. Hii itasaidia kuongeza idadi ya wafugaji wa nguruwe na uzalishaji wa nguruwe,” Kamana alisema.

---

NB. Afya haina dini
HAPA AKINA URIO WATATAKA WAKASOME RWANDA.
 
Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu Tanzania
 
Kwani kitimoto Ina shida gani?
Wacha biblia iseme:

... nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
 
Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu Tanzania
Hata mimi sijaona wakilazimushwa, lakini kumbuka, watoto wadogo ambao makwao hawali nguruwe, shuke wakipewa chochote watafakamia tu, hawana haja ya kulazimishwa.

Kwa wakubwa kila mmoja ana hiyari yake, kula najisi au kuwacha.
 
Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.

Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
. Sikushangai, wewe hata nyama ya mtu utakula tu.
Tafsiri ya maandiko vitabu vya dini yoyote yana mkhtadha wake sivyo kama unvyoitafsiri wewe Ndiyo maana hata wewe unapopewa andiko la Quran huwa unadai tafsiri za watu hao zinapotoshwa.

Uharamu wa nguruwe ulipewa waisraeli ktk mfungo maalum wa tukio mwalimu lenye uzito la safari yao ya kurudi Kaanani na na Ndiyo maana hazipo ktk amri kumi za Mungu.

Kabla ya safari yao nguruwe alikuwa vizuri na soma kitabu cha mwanzo utaona kila kitu cha Mnyama na kile cha mmea kiwe chakula cha binadamu.
 
Wacha biblia iseme:

... nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Mark 7:15-19​

15 There is nothing that enters a man from outside which can defile him; but the things which come out of him, those are the things that defile a man.
16 If anyone has ears to hear, let him hear!"
17 When He had entered a house away from the crowd, His disciples asked Him concerning the parable.
18 So He said to them, "Are you thus without understanding also? Do you not perceive that whatever enters a man from outside cannot defile him,
19 because it does not enter his heart but his stomach, and is eliminated, thus purifying all foods?"
 
Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu Tanzania

Tatizo waleta mada na wachangiaji wehuka utazan uyo nguruwe kaanza liwa leo.
 
Hata shule za tz wakiruhusu poa tuh c waislam tutakula mbuzi wao nguruwe maisha yanaendelea
 
Mark 7:15-19​

15 There is nothing that enters a man from outside which can defile him; but the things which come out of him, those are the things that defile a man.
16 If anyone has ears to hear, let him hear!"
17 When He had entered a house away from the crowd, His disciples asked Him concerning the parable.
18 So He said to them, "Are you thus without understanding also? Do you not perceive that whatever enters a man from outside cannot defile him,
19 because it does not enter his heart but his stomach, and is eliminated, thus purifying all foods?"
Hakuna nguruwe hapo aliyetajwa, unajidanganya tu.

Najisi utaiingiza mwilini?
 
Back
Top Bottom