atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Tafsiri please mm sio muarabuInna'Allah ma'a swabirin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri please mm sio muarabuInna'Allah ma'a swabirin.
Mwenyezi Mungu yupo na wenye kusubiri.Tafsiri please mm sio muarabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asee kesho naelekea Rwanda kuanza masomo ya awali
Naunga mkono hoja.Kitimoto hana shida!
Kama hutumii nyama yake acha wanaotumia wafurahie.....kama unatumia acha kuwasumbua ambao hawatumii kila mtu aishi life lake!
Mimi binafsi ni mtumiaji mzur tangu utoto wangu mpaka leo na haijawahi nidhuru
[emoji120][emoji120][emoji120]Mwenyezi Mungu yupo na wenye kusubiri.
Kwani kitimoto Ina shida gani?Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Watawajaza Maradhi yasiyotibika hao wanafunzi.
HAPA AKINA URIO WATATAKA WAKASOME RWANDA.View attachment 2639065
Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema.
"Tunaziomba shule kuanzisha miradi ya ufugaji wa nguruwe ili kuweza kumudu nyama ya nguruwe," alisema.
Mnamo mwaka wa 2019, mpango wa lishe shuleni ulitekelezwa katika shule za sekondari (zinazosaidiwa na serikali na za serikali) huku wanafunzi 680,000 wakipokea ruzuku ya Serikali ya chakula cha shule.
Takwimu za hivi karibuni zinaonesha kuwa shule za msingi na sekondari ziliongezeka kutoka 2,877 mwaka 2017 hadi 2,963.
Mnamo 2021, Rwanda ilizalisha tani 185,989 za nyama. Idadi ya nguruwe imeongezeka kutoka 989,000 mnamo 2012 hadi takriban milioni 1.5 mnamo 2021.
Nchi hiyo iilizalisha wastani wa tani 23,000 za nyama ya nguruwe kwa katika mwaka 2019 na inalenga kuongeza uzalishaji wa nyama hiyo hadi kufikia tani 68,000 ifikapo 2024.
“Tunashughulikia mpango wa kutumia vyanzo mbadala vya protini kulisha mifugo badala ya mahindi. Hii itasaidia kuongeza idadi ya wafugaji wa nguruwe na uzalishaji wa nguruwe,” Kamana alisema.
---
NB. Afya haina dini
Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu TanzaniaUkiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Basi Mimi ningeshakuwa khanisi tayari.Nyama ya nguruwe inaondoa urijali wa mwanaume
Wacha biblia iseme:Kwani kitimoto Ina shida gani?
Hata mimi sijaona wakilazimushwa, lakini kumbuka, watoto wadogo ambao makwao hawali nguruwe, shuke wakipewa chochote watafakamia tu, hawana haja ya kulazimishwa.Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu Tanzania
Una wake wangapi?Basi Mimi ningeshakuwa khanisi tayari.
Tafsiri ya maandiko vitabu vya dini yoyote yana mkhtadha wake sivyo kama unvyoitafsiri wewe Ndiyo maana hata wewe unapopewa andiko la Quran huwa unadai tafsiri za watu hao zinapotoshwa.Hata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.
Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
. Sikushangai, wewe hata nyama ya mtu utakula tu.
Wacha biblia iseme:
... nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi kwenu.
8 Msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Sijaona walipolazimisha watu waende kinyume na dini zao. Msiwe mnapenda sana kulalamika lalamika. Jiamini. Asiyetaka kula hatokula anayetaka atakula. Kama sasa tu ilivyo hata nchini kwenu Tanzania
Hakuna nguruwe hapo aliyetajwa, unajidanganya tu.Mark 7:15-19
15 There is nothing that enters a man from outside which can defile him; but the things which come out of him, those are the things that defile a man.
16 If anyone has ears to hear, let him hear!"
17 When He had entered a house away from the crowd, His disciples asked Him concerning the parable.
18 So He said to them, "Are you thus without understanding also? Do you not perceive that whatever enters a man from outside cannot defile him,
19 because it does not enter his heart but his stomach, and is eliminated, thus purifying all foods?"