Wew ni muarabu au mbongo ? Kama ni mbogo basi umekua addicted sana na mambo ya waarabuHakuna nguruwe hapo aliyetajwa, unajidanganya tu.
Najisi utaiingiza mwilini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ni muarabu au mbongo ? Kama ni mbogo basi umekua addicted sana na mambo ya waarabuHakuna nguruwe hapo aliyetajwa, unajidanganya tu.
Najisi utaiingiza mwilini?
Mimi ni Muislam. Tumejaaliwa makabika na lugha ili tujuwane tu, mbora kati yetu ni mcha Mungu.Wew ni muarabu au mbongo ? Kama ni mbogo basi umekua addicted sana na mambo ya waarabu
Bibi kwani umelazimishwa wewe......Wanyarwanda na wahaya na wanyambo na wahima na wanyankole na waganda na wabangu bangu kula nguruwe ni asili yetu......Hayo mambo ya arab naization peleka kwenu huko..Ukiona mtawala anaanza kuwalazimisha watu kwenda kinyume na dini zao elewa kuwa siku zake zinahesabika.
Mkuu umeshanijibia bibi Faiza Fox.Mambo ya miiko katika chakula au vyakula fulani ni desturi au taratibu za jamii fulani hvyo basi kila jamii izingatie miiko yake . Kutokula nguruwe hizo ni desturi au taratibu za watu wa masharik ya kati uko. Cc tuna taratibu zetu na tuko vzuri hatutaki kulazimishwa. Mfano hao waarabu hawawezi kuwaambia et Wachina au wajapn wasile nguruwe ahhhahh watachekwa san. Na kama waarabu wangekuwa kila kitu sawa na smart wasingewategemea makafir kwenye mambo mengi ikiwemo technologia. Yaan kafir ndo anaongoza kwa technologia na kila kitu na wengne wako vizur na maandiko ya kale ahuhuhuhhhh
Uislamu dini ya waarabu...Sisi wabantu nguruwe ni chakula chetuMimi ni Muislam. Tumejaaliwa makabika na lugha ili tujuwane tu, mbora kati yetu ni mcha Mungu.
Huyo ana arab naization mind set..Wew ni muarabu au mbongo ? Kama ni mbogo basi umekua addicted sana na mambo ya waarabu
Ukiona mtu hali nguruwe uyo ni kafiriHata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.
Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
Toka enzi za Habriymana mkuu nikiwa dogo tulikua tunapiga kitu cha viazi vya kuchemshwa na supu ya nguruwe dailyTuanze kufuga nguruwe tukauze huko
Sometimes una hoja nzuri ila mda mwnngne unapuyanga ila inatakiwa ujue kwamba wew kuelewa na kuikubali miiko na makatazo ya kiarabu haimaniishi ni lazma kila mmoja awe na mtazamo kama wako. Mfano kwa mm Arabs ni dhaifu mno kinachowabeba ni mafuta yao tu tena kafir ndio kawashikia akiliMimi ni Muislam. Tumejaaliwa makabika na lugha ili tujuwane tu, mbora kati yetu ni mcha Mungu.
Bíblia ni kitabu cha tamaduni za wayahudiHata wakristo wenye kuifata biblia hawali nguruwe.
Ukiiona mijitu inakula nguruwre ujuwe hiyo ni mikafiri tu.
Mkuu upo sahiiSometimes una hoja nzuri ila mda mwnngne unapuyanga ila inatakiwa ujue kwamba wew kuelewa na kuikubali miiko na makatazo ya kiarabu haimaniishi ni lazma kila mmoja awe na mtazamo kama wako. Mfano kwa mm Arabs ni dhaifu mno kinachowabeba ni mafuta yao tu tena kafir ndio kawashikia akili
Uyu mzee ndo mana anabarikiwa sana. Sasahivi kila mtu akiamka anataka kuwa mchungajiHakuna haijuae kesho si yeye wala wewe , ila yeye ni mpitaji wa mipango sio kibwegebwege , juzi kafungia makanisa 78 yasio na usajili na wachungaji wasio na degree ya theolojia wote kawafuta na makanisa yao kayafungilia mbali.....
Bibi sisi sio waarabu na hatuna haja na tamaduni zaoLa haraka haraka kichwani ni "swine flu" Elewa kuwa siku hizi dunia kiganjani, unaweza kumtumia chatgpt:
Swine can carry a variety of diseases that can be transmitted to humans. Some of the diseases associated with swine include ringworm, erysipelas, leptospirosis, streptococcosis, campylobacterosis, salmonellosis, cryptosporidiosis, giardiasis, balantidiasis, infection with pathogenic E. coli, and brucellosis¹.
Ushaanza kiarabu,,,,,utakua na mahaba na arab naizationInna'Allah ma'a swabirin.
Mkuu huyo bibi ana matatizo ya kiakili alisema tulete sharia wakamjibu aweke kwenye familia yake mtoto akiiba awe ana chinja sijui alishatekeleza hilo. Leo tena anasema kafiri. Kafiri ni yeye na baba yake huoni hilo?Bíblia ni kitabu cha tamaduni za wayahudi
........Sasa sisi tufuate tamaduni za kigeni za nini????? Kafiri ni wewe na tamaduni zenu za kiarabu
Sizani kama wayahudi Ndio watu wenye akili sana hata kwenye kumi boraHuwa watu wanaonyesha jamii ya Israel/Jews ni watu wenye akili mno lkn kwao Nguruwe ni katazo kubwa ni ‘forbidden’ kabisa sasa sijajua nguruwe na akili vina uhusiano upi?
Ameathirika anahitaji msaada wa haraka sana. Yeye anafikiri waarabu ndo watu wako makini na smart kwenye kila kitu kumbe hawana chchte ni weupe pee.Huyo ana arab naization mind set..