Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo.

Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.

Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula Ingabire has announced that the country will be conducting a beta launch for the Cinnamon-217 and Cinnamon-937 satellite constellation.

In October 2021, Rwanda Space Agency filed a request to acquire these satellites, but the Minister noted that the number had increased to seven satellites. According to her, the full satellite launch should be by the end of 2023.

Rwanda is in talks with a number of countries to assist in the development of its space capabilities, in the hopes of securing accords that will support the countrys Information and Communication Technology (ICT) objectives.

The countrys space ambitions have attracted interest from countries such as Japan, Israel, and the United Arab Emirates, the Minister of ICT and Innovations told The New Times.

The proposed mid to long-term partnerships with these countries, she said, range from the use of geospatial data to the design and manufacturing of satellites. For example, Rwanda and Israel signed an agreement in 2020, effectively laying the grounds for pursuing this cooperation.

In 2019, Rwanda and Japan teamed up to build the first cube satellite (RwaSat-1), which was launched from Japans Tanegashima Space Centre and deployed to the Low Earth Orbit (LEO) from the International Space Station.

Under the partnership with Japan, Ingabire disclosed that 20 Rwandans are currently undergoing training in designing and producing minisatellites.

Rwanda recently approved the law establishing its space agency as the Chamber of Deputies voted. The Chamber of Deputies is the lower house of Rwandas national legislature.

Hii ni faida ya kuongozwa na watu wenye akili.
Naona tofauti kubwa sana kati ya Rwanda na Burundi, nchi ambazo zilikuwa sawa miaka michache iliyopita..
Burundi haina tofauti na Tanzania, zote zinaongozwa na vilaza.

Kurusha satellite kwa msaada wa Israeli na Japani ndio akili?-- anasaidiwa na mabeberu ili aweze kuvamia jirani zake kwa urahisi ili kupora mali za asili kwa ajili ya hao mabeberu halafu wewe usiyefikiri vyakutosha unasema hiyo ndio AKILI??

Akili ni; Kuanza from the scratch kuunda Booster Rockets pamoja na satellite yenyewe kutumia technology kutoka kwa wataalamu wa ndani na uandaaji wa kuirusha juu kwenye orbit kwa ustawi wa nchi kama jinsi anavofanya mchina nk. na sio vinginevyo.

Rwanda ni kibaraka wa mabeberu katika kanda hii ya Africa mashariki, Rwanda is a malignant cancer in our EA region to-date.
 
Majigambo tu huku AKILI ya kundoa njaa kwenu hamnayo!!--- mnajivuna kwa kuomba kusaidiwa kurusha satellite lakini mnashindwa kuomba msaada ili msaidiwe njia ya kupunguza njaa nchini kwenu!!?---- au hivyo ndio Vitu vya kuutumia bongo??!

Afadhali Wajackoya anayesema akichaguliwa kuwa Rais Kenya atalima Bangi na kufuga nyoka ili nchi ikipata pesa atanunua chakula kutoka nje ya nchi.🤣🤣
 
Kurusha satellite kwa msaaa wa Israeli na Japani ndio akili??-- anasaidiwa na mabeberu ili aweze kuvamia jirani zake kwa urahisi ili kupora mali za asili kwa ajili ya hao mabeberu halafu wewe usiyefikiri vyakutosha unasema hiyo ndio AKILI ??!!.

Akili ni; Kuanza from the scratch kuunda Booster Rockets pamoja na satellite yenyewe kutumia technology kutoka kwa wataalamu wa ndani na uandaaji wa kuirusha juu kwenye orbit kwa ustawi wa nchi kama jinsi anavofanya mchina nk. na sio vinginevyo.

Rwanda ni kibaraka wa mabeberu katika kanda hii ya Africa mashariki, Rwanda is a malignant cancer in our EA region to-date.

Hapana, Rwanda hawana akili. Wenye akili ni Tanzania na Burundi..
 
Unasaidiwa na watu Kuweka CCTV kamera nyumbani kwako ili ichungulie ndani ya nyumba za jirani zako kwa ajili ya kuwahujumu kwa FAIDA ya hao waliokusaidia kukuwekea Camera; hiyo ndio AKILI unayosema Tz na Burundi hatuna ??!!---😏😝.

Pull up your stockings man.
 
Majigambo tu huku AKILI ya kundoa njaa kwenu hamnayo!!--- mnajivuna kwa kuomba kusaidiwa kurusha satellite lakini mnashindwa kuomba msaada ili msaidiwe njia ya kupunguza njaa nchini kwenu!!?---- au hivyo ndio Vitu vya kuutumia bongo??!

Afadhali Wajackoya anayesema akichaguliwa kuwa Rais Kenya atalima Bangi na kufuga nyoka ili nchi ikipata pesa atanunua chakula kutoka nje ya nchi.🤣🤣

Ha ha ha!! Hizi ndio akili haswa za Kitanzania, na mtachelewa sana kwa kweli.
 
Mchagueni Wajackoya huyo ndiye ataikomboa Kenya from hunger kwa kuzalisha bangi na nyoka--- yeye inaonekana anajua shida kubwa inayowakabili sio hao wengine wanaofikiria mambo ya satellites na flyovers na Reli huku njaa ikiwapiga.

Jirani "Vote for Wajackoya for your survival"🤣🤣
 
Mtaendelea kushindwa na vitaifa vidogo vidogo kwenye kila kitu, vingine saizi ya mkoa wenu mmoja, ni kama mpo kwenye laana fulani hivi, aidha itakua hayo maushirikina yenu ndio huwatafuna na unyama wenu dhidi ya albino.
 
Yaani Wajackoya kawazidi maraisi wote wa Kenya waliopita + Uhuru kwa kutanzua mgogoro wa njaa yenu katika njia rahisi sana; Lima bangi na Fuga nyoka then buy foods, just simple. What brilliant he is !!!. Sio hao wengine eti; jenga reli, fly overs nk, huku mnashindwa kutatua tatizo la hitaji la msingi la binadamu "chakula" for OVER YEARS while spending bn of shillings for luxurious needs only seeking for prestige. 🤣🤣🤣🤣, hiyo ndio akili ya Kenyans ya ujanja na ujinga. Hivi mlishaachaga kudai Mlima kilimanjaro ni Kenyans' ??!!
 
Halafu sijui nini kiliwaingia Burundi wakaingia mkenge wa kufuata hiyo laana yenu nyie hadi wakawa mazezeta pia na kuachwa na jirani wao Rwanda kwa mbali, nilidhani shida yao ni yule rais aliyeaga dunia, kumbe ipo kwenye damu kama nyie hapo.
 
Kwanza umeshakula breakfast??-- unavyoandika inaonekana una njaa kali sana. Vote for Wajackoya to save you from the disaster.
 
Ndio maana huwa unaona hata Wazenji huwa wamewachoka, huwa wanahisi hiyo laana yenu huwaburuza na wao wanakwama humo humo.
 
Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo....................

Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.
Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula Ingabire has announced that the country will be conducting a beta launch for the Cinnamon-217 and Cinnamon-937 satellite constellation.

In October 2021, Rwanda Space Agency filed a request to acquire these satellites, but the Minister noted that the number had increased to seven satellites. According to her, the full satellite launch should be by the end of 2023.

Rwanda is in talks with a number of countries to assist in the development of its space capabilities, in the hopes of securing accords that will support the countrys Information and Communication Technology (ICT) objectives.

The countrys space ambitions have attracted interest from countries such as Japan, Israel, and the United Arab Emirates, the Minister of ICT and Innovations told The New Times.

The proposed mid to long-term partnerships with these countries, she said, range from the use of geospatial data to the design and manufacturing of satellites. For example, Rwanda and Israel signed an agreement in 2020, effectively laying the grounds for pursuing this cooperation. In 2019, Rwanda and Japan teamed up to build the first cube satellite (RwaSat-1), which was launched from Japans Tanegashima Space Centre and deployed to the Low Earth Orbit (LEO) from the International Space Station.

Under the partnership with Japan, Ingabire disclosed that 20 Rwandans are currently undergoing training in designing and producing minisatellites.

Rwanda recently approved the law establishing its space agency as the Chamber of Deputies voted. The Chamber of Deputies is the lower house of Rwandas national legislature.

Nyie bado mnakwapua ardhi ya wamaasai na kufunga wapinzani. keep up
 
"Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo"....................
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana huwa unaona hata Wazenji huwa wamewachoka, huwa wanahisi hiyo laana yenu huwaburuza na wao wanakwama humo humo.

Ndio maana huwa unaona hata Wazenji huwa wamewachoka, huwa wanahisi hiyo laana yenu huwaburuza na wao wanakwama humo humo.

Nani kalaanika kati yetu na ninyi??---- kufa kwa njaa routinely for years now at the same time using the money (tax) you collect from the people to undertake mega prestigious projects only to compete with other countries in particular Tz while leaving millions of your people starving, is that rational???.

Mahitaji ya msingi kwa maisha ya binadamu kwa umuhimu ni; Chakula, Malazi na nyumba, nyie ni wajinga kusaidiwa kurusha Satellite mnafurahi kama watoto huku mnaakufa njaa, hiyo ni akili kweli?? au hiyo ndio akili ya kenyans??🤣🤣?

Limeni bangi na kufuga nyoka tu ndicho kilichobakia.
 
Kinachoshangaza licha ya raslimali zote hizo mumejaza omba omba Kenya, sijaona omba omba kutoka mataifa mengine, ni nyie, laana sana hiyo.
 
Back
Top Bottom