Rwanda kuwa ya pili EAC kurusha satellite baada ya Kenya

Kinachoshangaza licha ya raslimali zote hizo mumejaza omba omba Kenya, sijaona omba omba kutoka mataifa mengine, ni nyie, laana sana hiyo.

Laana ipo kwa aliyekufa njaa au kwa aliyeshiba??--- kama hujui miongoni mwa adhabu za Mungu njaa imo, for years you have been suffering from hunger so what good is it to come forward and feel proud of the satellite launching on which you spent lots of tax-payer moneys whose money could have been used to eleviate the hunger crisis??!!---- mnapenda sifa za kipumbavu na mashindano yasiyokuwa na tija.

Chakula ni hitaji la kwanza la msingi la binadamu sasa unajivunia nini wakati mumeshindwa siku zote kulisha jamii zenu??!;
Vote Wajackoya atleast he has an antidote for the crisis.

To be precise, I'm your wellwisher and not your enemy.
 
Hili suala la nyie kutujazia omba omba nilidhani limeisha, kumbe ni ile sijawa nikienda mjini mara nyingi, nimeshangaa hata juzi juzi tu wamekamatwa wengi mno, mnaitana kutoka kwenu huko kwa maelfu, aibu sana na laana na uzembe, ilhali mna raslimali kibao.
Mumeanza kujaa hata mitaani, ndio nchi pekee yake Afrika inafanya export ya omba omba....
Naona mnatafuta mchawi mpaka kwenye bendera Bendera ya Tanzania Duniani
 
Nasema hivi; katika mahitaji muhimu ya mwanadamu (the human basic needs) Chakula ni namba moja, utarukaruka weee lakini huwezi kupinga jambo hilo.

Kenya kila mwaka watu wenu hufa kwa njaa, ni jambo la kawaida, ni jambo mlilolizoea, mimi najua hiyo njaa yenu inasababishwa na natural disaster, ni jambo ambalo mnajua kuwa kila mwaka janga la aina hiyo litatokea, swali ni hili; je mmejipangaje kukabiliana na janga hilo??!!--- hapo ndipo akili ya "kenyans materialistic lust" inapofanya kazi, yaani ni bora kuomba msaada wa kurushiwa satellite angani, kuomba msaada/mkopo wa kujengewa SGR na mchina, kujenga flyovers nk, ili muonwe na nchi zingine kwamba; kenya inaendelea na inazopesa na bajeti KUBWA EA nzima huku mnashindwa kutenga pesa za kununulia chakula kwa watu wenu wanaokufa njaa kila mwaka!!?--- hiyo ni akili ya mtu au mnyama??, what good are those stuffs compared to people live??!.

Unadai huko kuna ombaomba kutoka Tz, kama wapo basi hao ni wavivu au ni majuha wasiokuwa na akili kama nyinyi msivyokuwa na akili ya kushindwa kujua priority ni nini kati ya satellite na chakula kwa watu wenu, isitoshe ni sifa mnazojigamba kwamba nyie ni matajiri ndio zinazowafanya wadanganyike na waje huko kutafuta green pastures na dawa yake muache kujigamba bila sababu ndipo wataacha kuja huko kwa nyinyi MATAJIRI warusha satellite mnaokufa njaa.
 
Nasema hivi; katika mahitaji muhimu ya mwanadamu (the human basic needs) Chakula ni namba moja, utarukaruka weee lakini huwezi kupinga jambo hilo.

Kenya kila mwaka watu wenu hufa kwa njaa, ni jambo la kawaida, ni jambo mlilolizoea, mimi najua hiyo njaa yenu inasababishwa na natural disaster, ni jambo ambalo mnajua kuwa kila mwaka janga la aina hiyo litatokea, swali ni hili; je mmejingaje kukabiliana na janga hilo??!!--- hapo ndipo akili ya "kenyans materialistic lust" inapofanya kazi, yaani ni bora kuomba msaada wa kurushiwa satellite angani, kuomba msaada/mkopo wa kujengewa SGR na mchina, kujenga flyovers nk, ili muonwe na nchi zingine kwamba; kenya inaendelea na inazopesa na bajeti KUBWA EA nzima huku mnashindwa kutenga pesa za kununulia chakula kwa watu wenu wanaokufa njaa kila mwaka!!?--- hiyo ni akili ya mtu au mnyama??, what good are those stuffs compared to people live??!.

Unadai huko kuna ombaomba kutoka Tz, kama wapo basi hao ni wavivu au ni majuha wasiokuwa na akili kama nyinyi msivyokuwa na akili ya kushindwa kujua priority ni nini kati ya satellite na chakula kwa watu wenu, isitoshe ni sifa mnazojigamba kwamba nyie ni matajiri ndio zinazowafanya wadanganyike na waje huko kutafuta green pastures na dawa yake muache kujigamba bila sababu ndipo wataacha kuja huko kwa MATAJIRI warusha satellite mnaokufa njaa.

Halafu ukubwa wa hilo taifa ni mara mbili ya Kenya, ila Kenya inawazidi mara mbili kiuchumi na pengo linazidi kuongezeka, ni aibu na laana, nafikiri hayo maushirikina yenu ndio yanawatesa, mumetujazia omba omba hadi kero, wanakamatwa na kurudishwa kwao ila wanarudi maradufu ya awali.
 
Hii ni faida ya kuongozwa na watu wenye akili..
Naona tofauti kubwa sana kati ya Rwanda na Burundi, nchi ambazo zilikuwa sawa miaka michache iliyopita..
Burundi haina tofauti na Tanzania, zote zinaongozwa na vilaza..,
Tanzania haiongozwi na Kilaza
 
Umuhimu wa kurusha sattelite hasa kwa nchi husika ambayo ni masikini na wananchi wake masikini ni upi?
 
Halafu ukubwa wa hilo taifa ni mara mbili ya Kenya, ila Kenya inaizidi mara mbili kiuchumi, ni aibu na laana, nafikiri hayo maushirikina yenu ndio yanawatesa, mumetujazia omba omba hadi kero, wanakamatwa na kurudishwa kwao ila wanarudi maradufu ya awali.

Hivi ni nani kalaanika kati ya yule anayekufa njaa kwa ujinga wake wa kukumbatia materials au yule anayeshiba kwa juhudi zake??!!--- hivi nikuulize; umekula au umelala njaa??!! Kwani unaongea Nonsense,🤣
 
Nilikua nasoma huu uzi hapa, kwa kweli ni laana, kila siku mnagundua aina mpya ya madini ila umaskini unazidi kutamalaki, tunaendelea kuwaacha kiuchumi, hadi muache maushirikina ya kutafuna nyama za albino hiyo laana itawaandama sana.

Kalimeni bangi na kufuga nyoka ndio njia pekee iliyobaki ya kupata pesa ya kujikimu kwa chakula pesa pesa zinginezo ni za mkopo ya masharti kurushia satellite. Hapo kama unazo akili utaona kwamba Utajiri wenu hauna maana kama mtaendelea kufa njaa.

Ushauri wangu wa bure kwenu, kwanza anzeni na chakula halafu ndipo muanze kutafuta Sifa zingine za mashindano ya kudai mlima Kilimanjaro ni mali yenu.
 
Hili suala la umaskini kuwatesa naona linajadiliwa sana na kufunguliwa nyuzi, jamaa wana points za maana ila wengi hamjui tu, tatizo lenu ni hilo laana la kuwatafuna albino kwenye maushirikina yenu, mkiacha tu basi mtaanza kuona mabadiliko, la sivyo tutaendelea kuwaacha sana, hebu ona jamaa hapa alivyotiririka points SoC 2021 - Nini kifanyike Tanzania iwe miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani?
 
Afrika panazidi kukucha, Rwanda imeamua kuondoa upweke ambao huikumba Kenya kwenye kilele cha haya mavitu ya kutumia ubongo....................

Rwanda will join the list of African countries that have successfully orbited satellites, including Algeria, Ethiopia, Kenya, Zimbabwe, South Africa, Morocco, Egypt, Ghana and Nigeria.
Rwandan Minister of ICT and Innovations Paula Ingabire has announced that the country will be conducting a beta launch for the Cinnamon-217 and Cinnamon-937 satellite constellation.

In October 2021, Rwanda Space Agency filed a request to acquire these satellites, but the Minister noted that the number had increased to seven satellites. According to her, the full satellite launch should be by the end of 2023.

Rwanda is in talks with a number of countries to assist in the development of its space capabilities, in the hopes of securing accords that will support the countrys Information and Communication Technology (ICT) objectives.

The countrys space ambitions have attracted interest from countries such as Japan, Israel, and the United Arab Emirates, the Minister of ICT and Innovations told The New Times.

The proposed mid to long-term partnerships with these countries, she said, range from the use of geospatial data to the design and manufacturing of satellites. For example, Rwanda and Israel signed an agreement in 2020, effectively laying the grounds for pursuing this cooperation. In 2019, Rwanda and Japan teamed up to build the first cube satellite (RwaSat-1), which was launched from Japans Tanegashima Space Centre and deployed to the Low Earth Orbit (LEO) from the International Space Station.

Under the partnership with Japan, Ingabire disclosed that 20 Rwandans are currently undergoing training in designing and producing minisatellites.

Rwanda recently approved the law establishing its space agency as the Chamber of Deputies voted. The Chamber of Deputies is the lower house of Rwandas national legislature.

Imasaidia nini kuondo janga la njaa linaloondoa maelfu kwa maia ya Roho za wakenya Kila mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala la umaskini kuwatesa naona linajadiliwa sana na kufunguliwa nyuzi, jamaa wana points za maana ila wengi hamjui tu, tatizo lenu ni hilo laana la kuwatafuna albino kwenye maushirikina yenu, mkiacha tu basi mtaanza kuona mabadiliko, la sivyo tutaendelea kuwaacha sana, hebu ona jamaa hapa alivyotiririka points SoC 2021 - Nini kifanyike Tanzania iwe miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani?

Hivi wewe una umri gani??--- isiwe naongea na mtoto mdogo wa darasa la 3!!!, eti unadai mtaendelea kutuacha sana kimaendeleo!!! , hivi ni nani alikuambia kuwa sisi tunashindana na nyinyi katika maendeleo??, hivi katika dunia nyinyi mnayo maendeleo gani yakupigiwa mfano kiasi kwamba sisi tuwaone kwamba mumekuwa kioo chetu cha kupima maendeleo yetu??!, tuache kujipima na nchi kubwa zenye uchumi imara ambapo watu wao hawafi njaa tujetujipime na nyie mlio kama sisi (third world countries)??,--- wewe kweli ni mgonjwa wa akili, ugonjwa uliosababishwa na kukosa chakula cha kutosha for years.

Kama unataka mashindano na Tz sisi hatuhitaji mashindano na nyie bali ni nyie ndio mnatuogopa kwani mnaona "hatari" ya sisi kuwazidi kiuchumi katika EA na ndio maana mnahangaika kijinga hata "kujiua kwa njaa" kusudi tu ku maintain status ya kuwa wakwanza ili ionekane kwamba uchumi wenu ni mkubwa kuliko TZ huku hamjali kwamba watu wenu wanakufa njaa!!!🤣, huo ni ujinga na laana ya kiakili ya kuwatoa "kafara kwa njaa watu wenu", na hapo usianze kulaumu Watz kwa kuua albino katika miaka hiyo ya giza iliyopita (ambapo nyinyi ndio mlikuwa mnanunua viungo vya hao albino) kwanza mjilaumu nyinyi kuwatoa kafara ya njaa watu wenu KILA MWAKA (annual sacrifice).

Unavimba kichwa na kutoa macho huku mishipa ya shingo ikikutoka bila aibu ukisema; "Kenya imerusha satellite" wakati huo maelfu ya watu wenu wanakufa njaa, acheni sifa za kipumbavu.

Bora mlime bangi na kufuga nyoka ili mpate chakula,, vote for Wajackoya.
 
Kuna huyu anadhani kwamba umaskni wenu unatokana na upole wenu, nawaambia mtatafuta mchawi mbali ila laana yenu inatokana na hilo la kuua na kutafuna albino na uzembe pia, tutaendelea kuongeza pengo la kuwaacha kiuchumi, hebu soma uzi wake hapa Tanzania upole na unafiki wetu ndiyo sababu ya Umaskini wetu
 
Hivi ni nani kati yenu na sisi anatamba kuwa anayo maendeleo??!!--- sisi hatutambi na wala hatuwatambii ninyi kwamba tunayo maendeleo kuwazidi ninyi, la hasha!! Ni nyinyi ndio kila kukicha mnatamba ili dunia iwajue kuwa mnayo maendeleo, sisi tunawakumbusha tu kwamba maendeleo yasiyoweza kukidhi hitaji kuu la msingi la binadamu la CHAKULA ni maendeleo BURE.

Siku nyingine unapokuja humu kwanza utuambie mmeweka mikakati gani ya kukabiliana na njaa halafu ndipo utuweke habari za satellite mliyosaidiwa kuirusha angani hapo.ndipo tutakuelewa. [ hamjaweza kuunda hiyo satellite mmesaidiwa kuirusha tu angani mnakenua meno kama wehu, je kama mngeweza kuiunda hali ingekuwaje?? Si dunia nzima ingewatambueni !!🤣]

Foods supplies in a country should correspond with economic development reversely the development is meaningless and useless and it is just for show case, Au Wewe huujui msemo wa "adui yako muombee njaa ??!"

Limeni bangi na kufuga nyoka kama mmeshindwa kulisha watu wenu, By Wajackoya, Vote for him.
 
Tanzania vyuo kama UDSM , DIT , Mandela na MUST wako busy na Certificate of Business Administration na Hotel Management.

Nchi haina long term projects kama High-tech Drones, Fighter Jets, au Satellite projects.

Hata Waziri wa Sayansi na Technolojia hajui kazi yake ni ipi!!!
 
Kuna huyu kaweka ramani ya madini yenu kabisa, ashangaa nani aliwaroga mpaka muwe maskini kiasi hicho mumeachwa nyuma na Wakenya tena mara mbili, sema mimi bado nawashauri tu pale pale muache kuua albino na kula nyama zao, ndio laana yenyewe

1623649886151-png.1818145
 
Ramani haisaidii kitu hapa, wewe usipojua uhusiano wa maendeleo ya uchumi na uchummi huo kutumika kukidhi mahitaji muhimu ya wananchi, mahitaji kama madawa, chakula nk, basi wewe ni zuzu.

Mnashindwaje kununua chakula kukabiliana na njaa kila mwaka na huku mnadai Uchumi na maendeleo yenu ni makubwa???

Kumbuka sisi hatudai kuwa uchumi wetu ni mkubwa kuliko ninyi, swali ni hili kwanini KILA MWAKA mfe njaaaaaa na pesa ya kuchezea kurusha satellite mnayo ??!, au kwa ukabila wenu mnawaona hao wanaokufa njaa sio kenyans??🤣 nyie mna mambo ya ajabu sana.

Vote for Wajackoya ili aanzishe uchumi wa kijani (weed) for food.🤣
 
Tanzania vyuo kama UDSM , DIT , Mandela na MUST wako busy na Certificate of Business Administration na Hotel Management.

Nchi haina long term projects kama High-tech Drones, Fighter Jets, au Satellite projects.

Hata Waziri wa Sayansi na Technolojia hajui kazi yake ni ipi!!!
Sasa kama sampuli ya wananchi wenyewe ni ya ovyo, kama hawa hapa kwenye uzi. Ambao wanajua kwamba kazi ya satellite ni ya kuchungulia tu majirani. Ujamaa buana! 😄 Viongozi wenu nao wataona kweli umuhimu wa vitu kama hivyo?

Sijui kuhusu satelite ya Rwanda, ila ya Kenya ni ya kiutafiti. Chombo kama hicho kingewafaa sana maanake kina manufaa chungu nzima, hasa kwenye sekta ya KILIMO. Kupitia utafiti na data ambazo zinaokotwa kuhusu 'pattern' za mvua, kubadilika kwa mazingira, uvamizi wa vitu kama nzige, 'fall army worm' n.k. Vitu ambavyo huwa vinaathiri sana uzalishaji kwenye sekta ya kilimo. Satellite zinatumika hadi kufanya 'exploration', ya madini ya aina yote chini ya ardhi.

Elimu yenu na kukosa exposure zinawakwaza sana jombaa. Ndio maana hadi masuala ya kisayansi kama haya, yanaishia tu kuhusishwa na ushabiki maandazi, tena wa kisiasa.
 
Imasaidia nini kuondo janga la njaa linaloondoa maelfu kwa maia ya Roho za wakenya Kila mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniangusha sana jombaa, nilidhani kwamba wewe ni mtu mwenye uelewa kuhusu masuala kama haya ya kiteknolojia. Hivi hujui kwamba hizi satellite zinatumika moja kwa moja kustawisha kilimo? Huwa unaona sifa 'mabeberu' wakiuzia serikali yenu data, zinazohusiana na utafiti kuhusu vitu simpo kama mvua, ukame majanga kama mafuriko, tetemeko la ardhi nchini Tanzania?

Yaani kwenye karne hii ni sawa kweli kwamba mkulima ambaye yupo Kigoma bado huwa anangoja taarifa kutoka London, Paris, Brussels ili aanze kupanda mahindi yake?
 
Back
Top Bottom