MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Ramani haisaidii kitu hapa, wewe usipojua uhusiano wa maendeleo ya uchumi na uchummi huo kutumika kukidhi mahitaji muhimu ya wananchi, mahitaji kama madawa, chakula nk, basi wewe ni zuzu.
Mnashindwaje kununua chakula kukabiliana na njaa kila mwaka na huku mnadai Uchumi na maendeleo yenu ni makubwa???
Kumbuka sisi hatudai kuwa uchumi wetu ni mkubwa kuliko ninyi, swali ni hili kwanini KILA MWAKA mfe njaaaaaa na pesa ya kuchezea kurusha satellite mnayo ??!, au kwa ukabila wenu mnawaona hao wanaokufa njaa sio kenyans??🤣 nyie mna mambo ya ajabu sana.
Vote for Wajackoya ili aanzishe uchumi wa kijani (weed) for food.🤣
Baada ya huyo kuonyesha mnavyotia aibu kwa kuweka ramani kabisa ya madini, kuna huyu pia anaeleza laana ya umaskini inavyozidi kuwatesa, bado nashauri muache kula albino Tanzania bado ni nchi maskini sana