Upumbavu, sasa unaponda teknolojia yote inayohusiana na satellites kisa majungu yako dhidi ya Rwanda? Huo sio ukichaa kweli? Rwanda wanafanya mambo yao kulingana na malengo yao, sio ya nchi jirani. Wao ni kansa kwenu nyie wanyonge, ambao huwa mnawakuza na kuwaogopa. Rwanda na Kagame wao hawana ubabe wowote mbele ya nchi ya Kenya. Ndio maana huwa tunatangulia sisi kisha wao wanafata.
Kwahivyo ugaidi ndio unahalalisha hoja yako kwamba satellites hazina umuhimu wowote?Huku mgambo wa Somalia wasiokuwa hata na viatu wanawachakaza vibaya mno. Waijaribu TZ waone kama hatutaifuta kwenye ramani ya Africa. Mnapenda sifa za kipumbavu.
Satellites ni priority moja kubwa sana kwa kila nchi kote duniani. Alafu zina manufaa makubwa kwenye sekta ya kilimo pia. Kwahivyo hoja yako hiyo ya kupunguza njaa ni null and void. Shirikisha ubongo jombaa, ili uibuke na hoja zenye mashiko.It's called Priorities. Limeni mpunguze njaa huko.
Unarushaje satellite huku unaumwa njaa unajamba jamba upepo?Satellites ni priority moja kubwa sana kwa kila nchi kote duniani. Alafu zina manufaa makubwa kwenye sekta ya kilimo pia. Kwahivyo hoja yako hiyo ya kupunguza njaa ni null and void. Shirikisha ubongo jombaa, ili uibuke na hoja zenye mashiko.
Hamna akili nyie viumbe bila teknolojia, kwenye nyakati hizi, huwezi ukayatatua matatizo. Yanayowakumba wananchi ndani ya nchi yeyote ile kote duniani.Unarushaje satellite huku unaumwa njaa unajamba jamba upepo?
Hizo satellite uchwara zinawasaidiaje kuepuka kujamba jamba upepo kunakosababishwa na njaa?Hamna akili nyie viumbe, bila teknolojia, kwenye nyakati hizi huwezi ukayatatua matatizo. Yanayowakumba wananchi ndani ya nchi yeyote ile kote duniani.
Kwa taarifa yenu Kenya inazidi kurusha satellite zingine angani.
Alafu vyuo vikuu vitano nchini Kenya tayari vimerusha 'model' satellite zao angani. Satellite hizo zimetengenezwa na wanafunzi wenyewe.
Ashakum si matusi, ila sina muda wa kujadili upumbavu na hoja mufilisi kama hizi.Hizo satellite uchwara zinawasaidiaje kuepuka kujamba jamba upepo kunakosababishwa na njaa?
Tafuta msosi bwashee ule ushibe uache kujamba jamba upepo.Ashakum si matusi, ila sina muda wa kujadili upumbavu na hoja mufilisi kama hizi.
Wewe endelea kuhangaika na shibe la tumbo lako moja, hapo ndipo ulipo. Mimi hapa nilipo nawaza na kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo. Kama ni shibe ninajaza tumbo kadhaa kila siku ya wiki, sio langu tu. Tena nagharamia mahitaji yao mengine yote ya kimaisha juu yake.Tafuta msosi bwashee ule ushibe uache kujamba jamba upepo.
Satellites zinarushwa na walioshiba, sio MAHOHEHAHE kama KENYA.
Wenzako wanatafuna nzige huko Nairobi nenda kawaokoe.Wewe endelea kuhangaika na shibe la tumbo lako moja tu, hapo ndipo ulipo. Mimi hapa nawaza na kufanya mambo makubwa zaidi ya hayo. Kama ni shibe ninajaza tumbo kadhaa kila siku ya wiki sio langu tu. Tena na gharamia zao zingine zote za kimaisha juu yake.
Kuna huyu kajaribu kueleza nini sababu za Tanzania kueteseka kwenye umaskini, nimeona umechangia hapo eti sience and tchnology ndio suluhu, wala hiyo sio, mkiacha nyama za albino laana itapungua Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I
Wewe unatakiwa utulize akili yako kwani inaonekana umetawaliwa na ushabiki (fanatism) badala ya rational.
Huyo jamaa mada yake inasema ; "kwanini nchi za KIAFRIKA haziendelei, ikiwemo Tz, licha ya kupewa misaada??",--- sasa kwani kenya sio nchi ya kiafrika kiasi kwamba usiingize katika kundi la nchi zisizokuwa na maendeleo licha ya kupewa misaada??!, au Kenya haipewi misaada??
Umeshupalia juu ya Albino, sasa nikuulize; je hilo sakata la Albino lilianza lini??, na kabla halijaanza ni uchumi upi kati ya Tz na Kenya ulikuwa mkubwa??, je, hivi sasa Sakata hilo la Albino bado lipo??, je hivi sasa baada ya sakata hilo ni uchumi upi mkubwa kati ya Tz na Kenya??.
Ninachotaka kukufundisha ni hiki kwamba maendeleo ya kiuchumi katika Tz hayahusiani na sakata la kinyama la mauaji ya Albino kwani jambo hilo lilikuwa ni jambo la kihalifu lisilohusiana kabisa na maendeleo ya uchumi na jambo hilo lilianza na limeshatokomezwa miaka kadhaa iliyopita, ninashangaa umeendelea kulishikilia bila mantiki yoyote isipokuwa ushabiki tu.
(1)---Mimi nimekupa somo lenye mantiki kwamba; Maendeleo ya kiuchumi ya nchi ni lazima yanufaishe umma (wananchi), kama nchi itakuwa na uchumi mkubwa lakini uchumi huo kwa namna yoyote ukashindwa kutumiwa kusaidia kustawisha umma basi uchumi huo ni useless, uchumi unajengwa na umma, serikali inaendesha uchumi kwa ajili ya kuletea umma maendeleo nk,.
(2)----Tunajua na kutambua kuwa Kenya ni nchi yenye uchumi mkubwa EA, lakini inasikitisha na kuhuzunisha tunapona ndugu zetu Wakenya wanakufa kwa njaa kila mwaka licha ya uchumi wa nchi yao kuwa mkubwa!!!, je serikali unashindwa kutenga bajeti kila mwaka kukabiliana na janga la njaa??!! au hao wanaokufa sio watu??!, au ni watu wa tabaka la chini??, au ndio tribalism in action ??!, semeni tujue!!, ---kumbuka hakuna hitaji la muhimu kuliko yote katika maisha ya binadamu kama chakula, sasa tunashangaa iweje Uchumi mkubwa usiweze kuzibiti njaa??!!, huku Tz tunahadithiwa, baada ya vita vya kagera (Tz vs Uganda) uchumi wa Tz uliporomoka vibaya sana, bidhaa muhimu zote kupatikana ilikuwa ni shida kubwa lakini Nyerere alihakikisha hakuna Mtz atakaye kufa njaa zama hizo na ndipo mahindi ya njano (Yanga) kutoka marekani yakaingia na kwa kiasi kikubwa yalisaidia sana kukabiliana na tatizo la njaa lililokuwa linatunyemelea, Nyerere alichukua hatua hizo kama kiongozi mwenye dhamira na dhamana ya kulinda uhai wa watu wake, sasa kulikoni ndugu zetu wakenya??!!---3.5 million people kila mwaka (routinely) hukumbwa na njaa na matokeo yake ni utapiamlo nk, licha ya Uchumi wenu mkubwa huku wakati huo huo mkijisifia kurusha satellite, kujenga flyovers, SGR kwa gharama kubwa nk!!,
(3)---Kama Tz imeweza kukabiliana na mauaji ya kinyama ya Albino na kuyatokomeza kabisa, mauaji dhidi ya ubinadamu, basi nimatumaini yetu Kenya nayo kila mwaka itakuwa ikiweka initiatives za kukabiliana na baa la njaa (njaa ni janga dhidi ya ubinadmu), for good ili jambo hilo liwe ni historia kwa vizazi vijavyo sio vya Kenya tu baki vya wana E Africans kwa ujumla na hapo ndipo locals and internationals media HEADLINES za aina hii zitakoma👇🏻
View attachment 2295828
Kuna huyu anasema umaskini wenu ni wa kujichagulia, ila mimi nasema umaskini wenu ni muache kuwatesa na kuchinja albino ili laana iwatoke, muache maushirikina
Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!
Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...www.jamiiforums.com
Mtakula nzige hadi lini?Kuna huyu anasema umaskini wenu ni wa kujichagulia, ila mimi nasema umaskini wenu ni muache kuwatesa na kuchinja albino ili laana iwatoke, muache maushirikina
Umasikini wetu ni wa kujichagulia. Je! Inaleta maana yoyote? Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu kuwa maskini? Hapana!
Je! Inaleta maana yoyote kwamba Bara lenye ardhi yenye rutuba, idadi kubwa ya vijana, madini adimu, na maji tosha; kuwa masikini zaidi ulimwenguni. Umasikini wetu ni ule wa kujichagulia, Afrika inapaswa kutafakari tena mfumo wake wa uchumi na metriki za kupima mafanikio. Wengi wenu bado...www.jamiiforums.com
Kuna huyu anahoji kwanini idadi ya maskini imeongezeka Tanzania, ila mimi nashauri tatizo lenu liko pale pale uchinjaji na ulaji wa binadamu aina ya albino, ndio laana yenu Kwanini idadi ya watu maskini imeongezeka Tanzania?
Ha ha ha!! Hizi ndio akili haswa za Kitanzania, na mtachelewa sana kwa kweli.